Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu habari ya kifo cha Bi Amina ambaye ni mama yake Mtume MUhammad ﷺ
KURUDI KWA MAMA YAKE MPENZI:
Baada ya tukio hilo la kupasuliwa kifua/tumbo kama ilivyosimuliwa katika somo lililopita, Haleemah alihofia hali ya mtoto na kumrudisha kwa mama yake ambaye alikaa naye hadi alipokuwa na umri wa miaka sita.
Kwa heshima ya kumbukumbu ya mume wake marehemu, Amina aliamua kutembelea kaburi lake huko Yathrib (Madinah). Alianza safari ya kilomita 500 pamoja na mtoto wake yatima, mtumishi wa kike Umm Ayman na baba mkwe wake 'Abdul-Muttalib. Alikaa huko kwa mwezi mmoja kisha akaanza safari ya kurudi Makkah. Njiani, alipata ugonjwa mkali na akafa huko Abwa, kwenye barabara kati ya Makkah na Madinah.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Wana wa Abd Manaf wanaungana kumlinda Mtume Muhammad isipokuwa Abu Lahab yeye amekataa kuungana na ndugu zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Mkataba wa Aqaba wa kwanza
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza mambo yaliyofanyika katika harakati za kukomesha kuenea kwa uislamu.
Soma Zaidi...Baada ya kupambana kwa Muda Mrefu kumsaidia Mtume Muhammad, na hatimaye Mzee Abu Talib na Khadija Mke wa Mtume wanafariki
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Asili ya waarabu na kusambaa kwao katika bara arab
Soma Zaidi...Baada ya Quraish kufeli mbinu zao za mateso, sasa wanaanza mbinu za diplomasi, wanajaribu kumshawishi Mtume kwa kumpa mali nauongozi
Soma Zaidi...Hapa utajifunza historia ya kuslimu kwa Hamzah bin Abdul-Muttalib.
Soma Zaidi...Hapa tunakwenda kuianza upya safari ya Maisha ya Mtume akiwa Madina
Soma Zaidi...katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Mazazi ya Mtume MUhammad ﷺ na kupewa jina.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza tukio la kujengwa upya kwa Al-Kaabah tukufu
Soma Zaidi...