Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mahindi
Faida za mahindi
1. Mahindi yana virutubisho Kama protini, wanga, madini ya chuma, vitamini B1, B5, B12 na C
2.Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
3. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya anemia
4. Ni chakula kinachoipa miili yetu nguvu
5. Husaidia katika kuongeza uzito
6. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
7. Husaidia kwa afya ya mama mjamzito na mtoto aliepo tumboni, pia husaidia katika kujifungua salama
8. Huboresha afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pilipili
Soma Zaidi...Post huu inakwenda kukupa orodha ya madini muhimu kwa ajili ya afya yako.
Soma Zaidi...Hivi ni vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo. mwenye vidonda vya tumbo hatakiwi kula vyakula hivi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...