Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Faida za fyulisi/peach
1. Lina virutubisho Kama vitamin C,A na E pia Lina madini ya potassium, shaba manganese, phosphorus
3. Huimarisha afya ya mifupa na meno
3. Huimarisha mfumo wa kinga
4. Hupunguza kasi ya kuzeeka
5. Hulinda mfumo wa fahamu na Neva
6. Huboresha afya ya macho
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini.
Soma Zaidi...utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...