Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,
Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake.
1.vyakula vya wanga.
Ni Aina mojawapo ya vyakula ambayo kazi yake kuu ni kuongeza nguvu kwenye mwili,maana mwili bila vyakula vyenye wanga ni matatizo makubwa yanayoweza kujitokeza, vyakula vya ni Kama vile, mihogo, mahindi, viazi vitamu na viazi vikuu, maharage , mahindi na vyakula vingine vingi.
Ukosefu wa vyakula vya wanga mtu anaweza kupata magonjwa yafuatayo kama vile mwili kukosa nguvu, kukosa mafuta kwenye ngozi ya juu, misuli kulegea, kukonda na kukosa nguvu mwilini kwa hiyo ni muhimu kula sana vyakula vya wanga Ili kupata mwili nguvu.
3. Vyakula vya mafuta.
Hivi ni vyakula ambavyo utumika kuongezeka nguvu kwenye mwili ikiwa kiasi Cha wanga ni kidogo kwa hiyo mtu akikosa wanga anaanza kutumia vyakula vya mafuta na pia vyakula vya mafuta usaidia kuongeza nguvu kwenye mwili.na pia vyakula vya mafuta usaidia kusafirisha vitamini D, vitamini A, vitamini E, na Vitamini K kwenye mwili.
Vyakula vya mafuta upatikana kwenye wanyama kama vile mafuta ya ngombe na kwenye mimea kama vile mafuta kutoka kwenye alizeti, pamba na mimea mwingine mingi ambayo utoa mafuta.ukosefu wa mafuta mtu anaweza kuwa na kinga mibaya kwenye mwili na mwili kuwa na makovu pengine nywele kuisha kwenye kichwa kwa hiyo tunapaswa kutumia vyakula vyenye mafuta Ila kwa kiwango kidogo ukiulinganisha na vyakula vingine.
5. Vyakula vya protein
hivi ni vyakula ambavyo ufanya kazi kubwa mwilini kama vile, kusaidia katika makuzi hasa kwa watoto wadogo na pia kusaidia kuponyesha kwa viungo vilivyoharibika na pia usaidia kutengeneza enzyme, homoni, na pia ni asili ya nguvu kwenye mwili.
proteini upatikana kwenye wanyama kama vile nyama, maini , maziwa na cheese na pia Kuna wadudu kama vile senene na kumbikumbi nao pia usababisha kuongezeka kwa protini mwilini.ukosefu wa protein usababisha kudumaa hasa kwa watoto na kinga kuwa ndogo kwenye mwili na pia kuvimba miguu na sehemu nyingine za mwili ambapo kwa kitaalamu huitwa (oedema).
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Faida za kula Karoti
Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii
Soma Zaidi...AINA KUU ZA VYAKULA: vyakula vya protini, wanga, fat na mafuta, vitamini, madini na maji
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Lishe sahihi kwa wazee: Nini cha kuzingatia?
Kadiri tunavyozidi kuzeeka, mwili wetu hubadilika. Hitaji la nishati hupungua, lakini hitaji la virutubisho hubaki juu—au hata kuongezeka. Lishe sahihi katika uzee sio tu kwa ajili ya "kushiba," bali ni kinga dhidi ya magonjwa, njia ya kudumisha nguvu za misuli, na ufunguo wa kuishi kwa heshima na afya njema. Makala haya yanakupa mwongozo wa mambo muhimu ya kuzingatia katika kula kwa afya katika umri wa utu uzima.
Soma Zaidi...