Ini Ni kiungo kikubwa Sana mwili na hutumika kuondoa sumu mwili ambayo hujulikana Kama detoxification
Ugonjwa wa ini sio kila wakati husababisha dalili zinazoonekana. Ikiwa ishara na dalili za ugonjwa wa ini hutokea, zinaweza kujumuisha:
1. Ngozi na macho yanayoonekana kuwa ya manjano (jaundice) Ina maanisha kuwa Kuna upungufu wa Damu mwili.
2. Maumivu ya tumbo na uvimbe; ini linaposhindwa kutoa sumu sumu hubakia mwilini na huleta madhara kwenye tumbo Kama maumivu na uvimbe kwenye tumbo.
3. Kuvimba kwa miguu na vifundoni
4.Ngozi inayowaka
5. Rangi ya mkojo wa giza
6. Rangi ya kinyesi iliyofifia
7. Uchovu wa kudumu; kuchoka Sana kujiona mdhafu kwa sababu ya sumu iliyo has mwili pale ambapo ini linashindwa kuiondoa
8. Kichefuchefu au kutapika; uchafu au sumu ukijaa mwilini Sana hupelekea kutapika na kichefuchefu
9. Kupoteza hamu ya kula;kutokana na kichefuchefu au kutapika mtu hupoteza kabisa hamu ya kula na pia mwili hudhoofika.
10. Tabia ya kuumiza kwa urahisi
Sababu za Maambukizi ya ini
1.kujamiiana bila Kinga
2.kuchangia taulo au nguo au kukumbatiana na kushikana na mtu mwenye Ugonjwa wa ini hii kupitia majasho au majimaji.
3.kuchangia vitu vyenye ncha Kali Kama vile sindani nyembe n.k
4.kuchangia Damu na mtu mwenye Ugonjwa wa ini
5.mama mwenye Ugonjwa huu kumwambukiza Mtoto wakati wa kujifungua.
6.kunyonyana ndimi (kissing)
7.kushea miswaki
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kusinyaa kwa Misuli. Ni maradhi yanayopelekea uzalishwaji hafifu wa misuli, hivyo kupelekea misuli kukosa protini, kushunwa kukuwa na kusinyaa.
Soma Zaidi...Malengelenge sehemu za siri ni maambukizi ya kawaida ya zinaa ambayo huathiri wanaume na wanawake. Makala ya malengelenge sehemu za siri ni pamoja na maumivu, kuwasha na vidonda katika sehemu yako ya uzazi. Lakini huenda usiwe na dalili au ishara za mal
Soma Zaidi...NENO LA AWALI Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo.
Soma Zaidi...Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...Mbu ni katika wadudu ambao husababisja vifo vya maelfu kila mwaka, na mamilioni ya watu wanaathirika na maradhi yaletwayo na mbu.
Soma Zaidi...Je vidonda Mara nyingi vitakuwa maeneo gan ya mwili? Hili ni swali lililoulizwa kuhusu vidonda vya tumbo, kuwa vinakaa wapi katika mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Je kujaa kwa mate mdomoni ni dalili ya kuwa na VVU, na je ni zipi dalili za Virusi Vya Ukimwi (VVU) mdomoni?
Soma Zaidi...Kama tulivyokwisha kuona kuwa malaria inaweza kuambukizwa kwa kung'atwa na mbu aina ya anophelesi.
Soma Zaidi...