Posti hii inahusu zaidi sababu za uti wa mgongo, ni ugonjwa unaotokana na kuwa na maumivu kwenye uti wa mgongo, hasa hasa ugonjwa huu ushambulia watu kuanzia miaka ishilini mpaka kwenye arobaini hivi, zifuatazo ni sababu za maumivu katika uti wa mgongo.
Sababu za maumivu katika uti wa mgongo.
1. Kubeba vitu vizito.
Hii ni sababu ya kwanza ya uti wa mgongo hasahasa utokea pale mtu akianza kubeba vitu vizito katika umri mdogo, pingili za mgongo uanza kulegea na baadae umri ukienda kumbuka kwamba na viungo vinaanza kuishiwa nguvu kwa hiyo maumivu uanza na baadae tatizo ugundulika kwamba lipo kwenye uti wa mgongo.
2. Pingili kuishiwa mafuta.
Katika mwili wa binadamu Kuna pingili thelathini na tatu kila pingili Ina kazi yake, pengine pingili hizi uhishiwa mafuta kwa sababu ya maambukizi au kwa sababu ya kutokuwa na mlo kamili wa vyakula vya kuongeza mafuta mwilini hali hii usababisha mafuta mwilini kuisha na pengine pingili usuguana hali hii upelekea maumivu makali kwenye uti wa mgongo kwa sababu ya msuguano wa pingili.
3. Mikao na miondiko mibaya.
Pengine maumivu makali kwenye mgongo usababishwa na kukaa vibaya na miondoko mibaya, hii utokea pale ambapo vijana wengi katika umri wa ujana uanza kuiga miondiko mbalimbali ambayo ufanya pingili kupinda na baadae maumivu makali kwenye mgongo utokea. Na pengine mikao mibaya ambayo haiendani na pingili za mgongo usababisha maumivu.
4. Kupata ajali.
Pengine maumivu ya mgongo usababishwa na kupata ajali na kuvunjika kwa baadhi ya pingili, hali hii usababisha maumivu ya mgongo hata kama mtu alitibiwa kama Kuna sehemu ilibaki na jeraha Kuna kipindi maumivu utokea hasa wakati wa baridi.
5. Uzito wa mwili kuwa mkubwa, ukiulinganisha na mifupa na nyama, pengine maumivu ya mgongo usababishwa na kuongeza kwa uzito wa mwili, pale ambapo mifupa uelemewa kubeba nyama za mwili kwa hiyo pingili uelemewa na uzito kwa hiyo maumivu ya mgongo uongezeka na kusababisha hali ya mtu kuwa mbaya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...VIDONDA VYA TUMBO SUGU Matibabu ya vidonda vya tumbo mara nyingi hufanikiwa, na kusababisha uponyaji wa vidonda.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, hali hii uwatokea sana wanawake zaidi ya wanaume, kwa kitaalamu hali hii ya kuwa na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo huitwa cystitis.
Soma Zaidi...Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida.
Soma Zaidi...Dalili za HIV na UKIMWI kwenye mdomo na ulimi utaziomna hapa. hizi zinaweza kuwa ndio za kwanza kwa ambaye hajapima HIV
Soma Zaidi...post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanaume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...