Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.
Dalili
1.Kukojoa Mara kwa Mara asa wakati wa usiku ambapo Figo huchuja mkojo na ikipata madhara hushindwa kufanya kazi na kupelekea mkojo kuwa mwingin.
2.maumivu; kikawaida Figo husaidia mifupa sasa ukishindwa kufanya kazi mifupa huvunjika vunjika kwa watu wazima na kushindwa kukua kwa watoto kwa sababu ya upungufu wa vitamini D inayotengenezwa na figo .
3.shinikizo la Damu kuwa juu; kwa sababu ya sumu zinazobakia mwilini .
4.damu kupungua kutokana na Figo kishindwa kuchuja uchafu na kishindwa kutengeneza homoni inayosaidia kuchuja chembechembe za Damu.
5.kukosa hamu ya chakula;
6;kupata kichefuchefu na kutapika ; dalili hii huonekana mapema kabla Figo haijapata madhara zuru
7.kuvimba miguu,mikono na usoni pia (oedema)
8.kushindwa kukojoa; Figo ukishindwa kabisa kufanya kazi yaan kuchuja mkojo mkojo unashindwa kutoka.
8.tumbo kuuma na kuvimba kwa sababu ya mkojo kishindwa kutoka.
9.sumu kwenye mwili; Figo ukishindwa kuchuja mkojo sumu hubaki mwilini na kusambaa na kupelekea madhara mengine.
10.mwili kuchoka.
11.kushindwa kulala na kutokuwa makini.
12.kizuzunguzungu kinachotokana na mwili kukosa nguvu na upungufu wa damu
13.mwanamke anaweza kukosa hedhi.
14.mwanaume anaweza kukosa hamu ya kufanya mapenzi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali.
Soma Zaidi...Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea.
Soma Zaidi...Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.
Soma Zaidi...Ukistaajabu ya Musa utastaajabu ya Firauni. Haya ni maneno ya wahenga. Sasa hebu njoo u staajabu ya damu
Soma Zaidi...hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Huwenda ukawa ni moja kati ya watu wanaotaka kujuwa juu ya dalili za ukimwi. Kama wewe ni katika watu hawa tambuwa kuwa kuna dalili za VVU (hiv) na dalili za ukimwi. Makala hii itakwenda kukuletea dalili kuu za mwanzo za VVU na HIV kuanzia wiki tatu za mw
Soma Zaidi...Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Tina ya vidonda vya tumbo na dawa zake
Soma Zaidi...Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto
Soma Zaidi...