Posti hii inahusu zaidi dalili za uti wa mgongo ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la uti wa Mgongo.
Zifuatazo ni dalili za uti wa mgongo.
1. Maumivu makali wakati wa kukaa.
Dalili mojawapo ya uti ni kushindwa kukaa, hii utokea pale mtu anapotaka kukaa usikia maumivu,hii ni kwa sababu pingili uuma pale mtu anapokuwa kukaa, hii dalili inapotokea Mara nyingi ni Dalili mojawapo ya uti wa mgongo.
2.Maumivu makali wakati wa kusimama kwa mda mrefu.
Hii utokea pale mtu anaposimama mda mrefu kwa sababu ya kuchoka kwa pingili,mtu anaposimama mda mrefu pingili uanza kuuma na pengine kuanza kutokea maumivu kwenye sehemu mbalimbali kama vile kiuno na kifua, hapo mpaka mtu apumzike ndo mgongo unaweza kutumia.
3.maumivu wakati wa kubeba vitu vizito.
Dalili nyingine ambayo inaweza kujitokeza ni pale mtu anaposikia maumivu pale anapobeba vitu vizito hiii ni kwa sababu ya kuchoka kwa pingili na pengine ni kwa sababu pingili zinakuwa zimechoka ndo maana mtu anaanza kusikia maumivu.
4.Maumivu wakati wa kuinama.
Mtu mwenye maumivu ya uti wa mgongo usikia maumivu makali wakati wa kuinama hii ni kwa sababu ya sababu ya kuchoka kwa pingili, kwa hiyo mtu akiinama maumivu uanza na kuenea sehemu mbalimbali.
5.Maumivu wakati wa baridi.
Mtu mwenye matatizo ya mgongo usikia maumivu wakati wa baridi kwa sababu ya kusinyaa kw a mifupa wakati wa baridi Ili kutengeneza joto mwilini,kwa sababu ya udhaifu wa pingili maumivu utokea hasa mgongoni kwa sababu ya kuwepo kwa baridi.
6.Maumivu wakati wa kutembea kwa mda mrefu.
Maumivu makali wakati wa kutembea kwa mda mrefu,hii utokea pale mtu anapotembea kwa mda mrefu na kusababisha mifupa kusuguana na kusababisha maumivu makali kwenye uti wa Mgongo maumivu yanaweza kuwa ya mda mrefu au ya mda mfupi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa ukoma, ni Ugonjwa unaosababishwa na mdudu anayeitwa mycobacterium leprae, mdudu huyu kwa kawaida uathiri sana sehemu za ngozi na sehemu za Neva mbalimbali za mwili
Soma Zaidi...Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu inayotumiwa kwa ajili ya kusikia, Kuna wakati mwingine hushambulia na bakteria na virusi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu, pamoja na kuwepo Kwa sababu zinazopekekea kupata tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu ila Kuna watu wenye hali Fulani wako kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu kama
Soma Zaidi...Posti hii inahusu sababu za mwanamke kuumwa tumbo chini ya kitovu, ni tatizo ambalo limewapata wanawake wengi na pengine sababu ni vigumu kupata au pengine zinapatikana lakini kwa kuchelewa hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali
Soma Zaidi...Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo yenye majimaji kama kwenye maji, ndani ya viumembe hai kama mtu, ngombe, ngure na paka. Minyoo pia wanaweza kuishi kwen
Soma Zaidi...