Posti hii inaonyesha dalili za fangasi kwenye mapafu.
Dalili za fangasi kwenye mapafu Ni Kama ifuatavyo;
1.kushindwa au kupumua kwa shida (difficult in breathing); Ugonjwa wowote wa mapafu huweza kupelekea kishindwa kupumua vizuri.
2.kukohoa; fangasi ya mapafu pia husababishwa kikohozi na makohozi haya hutoa makamasi (mucus) .
3.maumivu kwenye kifua (chest pain) ; pia mapafu yanapopata shida kifua huanza kupata maumivi taratibutaratibu na Kama usipowahi kupata matibabu huzidi kuwa sugu (chronic or severe).
4.kukosa oksijeni (lack of oxygen); fangasi ikitokea kwenye mapafu oxygen lazima itapungua au kushuka kiwango chake kutokana na infection zilizopo kwenye mapafu.
5.maumivu ya kichwa pamoja na kizunguzungu ; hutokana na homa Kali pamona na mwili ukikosa nguvu kwa sababu ya mapafu yatakuwa yameshashambuliwa na bacteria.
6.kukosa hamu ya kula (lack of appetite) mapafu yakipata( inflammation ) michubuko hupelekea maumivu kwenye kifua na pia mtu anaweza kukoksa kabisa hamu ya kula.
7.homa; fangasi ya mapafu lazima isababishe homa Tena Kali na mwili lazima ukose nguvu
8.kutumia Sana dawa Kama vile anibiotic kwa sababu huenda kuuwa zile bacteria zinazolinda mwili (normal Flora) pia hizi dawa zikitumiwa Sana hupelekea fangasi.
9.kutoa makohozi yenye makamasi yaliyochanganyikan na mate.
Mwisho ;fangasi ya mapafu Ni mbaya isipopata matibabu kwa haraka pia inaweza kusababisha kifua kikuu ,mapafu kujaa maji,usaha kwenye mapafu na Magonjwa mengine mengi hivyo basi Ni vyema Kama ukiona dalili za hivi uwahi hospital kupata matibabu ,piakujua Nini haswa zaidi kilichoingilia mapafu kuwa na uhakika zaidi na kupata ushauri mzuri kutoka kwa dactari.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za matibabu ya ugonjwa wa saratani,ni ugonjwa ambao unaweza kupona ikiwa umegundulika mapema katika hatua za mwanzo na kama ugonjwa huu umefikia hatua za mwisho Tiba yake huwa ni kupunguza makali ya ugonjwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mambo hatari yanayosababisha ugonjwa wa moyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye liski ya kupata magonjwa ya ngono, ni watu wanaofanya mambo yanayosababisha kupata magonjwa ya ngono.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na hatua za kufata ili kujikinga au kuepuka maradhi ya tumbo.kuna vitu vikikosekana husababisha maumivu ya tumbo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa upungufu wa Adrenali ni ugonjwa ambao hutokea wakati mwili wako hutoa kiasi cha kutosha cha homoni fulani zinazozalishwa na tezi zako za adrenali. ugonjwa huu hutokea katika makundi yote ya umri na huathiri
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuweza kupambana na fangasi za ukeni ili kuweza kujiepusha na madhara mbalimbali kwenye maisha ambayo ni pamoja na ugumba na Maambukizi kwenye via vya uzazi.
Soma Zaidi...