Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Kazi za madini ya zinki.
1. Madini ya zinki ni sehemu ya homone ya insulin ambayo usaidia kuhakikisha kuwa sukari Iko sawa kwenye mwili, kama Kuna sukari nyingi,hii homoni usaidia kupunguza na kukaa kwenye ini, na kama Kuna sukari kidogo kwa kuwepo hii homoni sukari iliyowekwa kama akiba kwenye inni ubadilishwa na kuanza kutumika upya.
2.Madini ya zinki ni sehemu ya enzyme mbalimbali,ambayo usaidia kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, kwa mfano wa enzyme ambayo inaitwa kwa kitaalamu carbonic anhydrase ambayo usaidia kusafirisha kusafilisha karbonidioxiside gasi kutoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili mpaka kwenye mapafu kwa ajili ya kusafisha, na enzyme nyingine ambayo inaitwa kwa kitaalamu carboxypeptide kazi yake ni kusaidia katika kumengenya chakula na enzyme nyingine ambayo usaidia kumengenya Alcohol kwenye tumbo huitwa Alcohol dehydrogenase.
3.madini ya zinki usaidia kutengeneza nuclear acidi ambazo kwa kitaalamu huitwa DNA na RNA hizi acidi hukaa kwenye nuclear kazi yake kuu ni kutengeneza utu wa mtu kutokana na wazazi wa mtu na kazi nyingine ya hizi asidi ambazo ukaa katika nuclear usaidia katika kutengeneza protini ambayo ufanya shughuli mbalimbali kwenye mwili wa binadamu,kutokana na madini ya chuma tunaona kazi kubwa ya utu wa mwanadamu uchangiwa na madini ya chuma.
4.Madini ya chuma pia usaidia katika kuponyesha vidonda hii ufanyika kwa kuwepo kwa sehemu mojawapo ya madini ya chuma ambayo kwa kitaalamu huitwa synthesis of collagen ambayo usaidia kuwepo kwa uponnyaji wa haraka wa kidonda, kama mtu ana wingi wa madini ya zinki mwilini kidonda chake upona haraka kuliko mtu yule ambaye ana kiasi kidogo Cha madini ya zinki.
5.Madini ya zinki usaidia katika kutengeneza sehemu ya jicho ambayo kwa kitaalamu huitwa chorion membrane ni sehemu ya madini ya zinki sehemu hii ya jicho uzuia wadudu wasiingie kwenye jicho na pia Ina majimaji ambayo ulifanya jicho kupata chakula chake, kwa hiyo madini ya zinki usaidia sana katika shughuli za ulinzi wa jicho.
6. Madini ya chuma pia usaidia katika kutengeneza via vya uzazi vya mwanaume ambavyo kwa kitaalamu huitwa prostate gland ambazo usaidia kutengeneza majimaji mazito au Ute ambapo kwa kitaalamu huitwa mucus ambazo uchanganyika na mbegu za kiume na usaidia kusafilisha mbegu za kiume wakati wa kujamiiana.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)
Soma Zaidi...Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za MATUNDA mbalimbali na mboga, upatikanaji wake na faida zake kiafya. Pia utakwenda kuona MATUNDA na mboga ambayo Ni kinga dhidi ya maradhi hatari Kama kisukari, saratani, maradhi ya moyo na mfumo wa fahamu pamoja na
Soma Zaidi...Hapa utajifunza maana ya Vitamini C, mwaka vilipogunduliwa na aliyegundua vitamini C
Soma Zaidi...