Posti hii inahusu zaidi maumivu ya kiuno na dalili zake, ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno na kusababisha madhara mbalimbali katika mwili,
Zifuatazo ni dalili za maambukizi kwenye kiuno.
1. Maumivu makali wakati wa kuinama, haya ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno iwapo mtu akiinama chini, hii utokea pale ambapo pingili zinazozunguka kiuno kuanza kutumia ,na hii usababishwa na Maambukizi kwenye kiuno au wakati mwingine ni kwa sababu ya mifupa ya kwenye kiuno kulegea na kusababisha maumivu wakati wa kuinama.
2.Maumivu makali kwenye kiuno wakati wa kunyanyua kitu hasa vitu vizito, maumivu ya kiuno utokea hasa pale mtu anaponyanyua vitu vizito, hii utokea kwa sababu kwenye kiuno ambapo maambukizi usababisha mifupa kulegea na kusababisha maumivu wakati wa kubeba vitu vizito kwa hiyo tunapaswa kuachana na hali ya kubeba vitu vizito tuwe na desturi ya kubeba vitu vyenye uzito kidogo.
3. Watu wenye matatizo ya maambukizi kwenye kiuno ujikuta Wanakuwa na ganzi kwenye miguu au sehemu nyingine Ila kwenye miguu ni kwa kiasi kikubwa hii ni kwa sababu pingili ambazo zina maambukizi ukandamiza mishipa ya fahamu na hivyo kusababisha damu kusafiri kwa shida atimaye ganzi uonekana kwenye sehemu za miguu au kwinginekwa kwa sababu ya maambukizi kwenye kiuno.
4.Maumivu makali wakati wa baridi au wakati wa asubuhi, hii utokea wakati wa asubuhi ambapo misuli huwa imebana sana kwa sababu ya kupata joto kwa hiyo na mifupa yenye maambukizi pia uguswa na kusinyaa kw misuli hatimaye mtu usikia maumivu makali wakati wa baridi na hivyo kumpelekea mgonjwa kukosa amani hasa wakati wa baridi.
5.Maumuvu wakati wa kusimama na wakati wa kukaa, haya ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno ambapo kwa sababu ya maambukizi kwenye kiuno mifupa ulegea na kusababisha maumivu wakati wa kukaa na kusimama, kwa sababu ya kulegea kwa mifupa iliyomo kwenye kiuno usababisha maumivu makali.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na was Uharibifu wa seli nyekundu za damu ambapo hujulikana Kama Ugonjwa wa Hemolytic uremic (HUS) ni hali inayotokana na uharibifu usio wa kawaida wa seli nyekundu za damu mapema. Mara tu mchakato huu unapoanza, seli nye
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri.
Soma Zaidi...Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke
Soma Zaidi...Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu.
Soma Zaidi...