Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Kufunga kizazi kwa Wanaume
Ni njia ya upasuaji ya kupanga uzazi kwa wanaume ambao wana uhakika kwamba hawataki watoto zaidi. Ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba . Ni njia ya upasuaji ambayo inaweza kufanywa katika kliniki kwa utaratibu mzuri wa kuzuia maambukizi.
Taratibu zake
Inahusisha kukata na kufunga kwa epididymis. Chale ndogo hutengenezwa kwenye korodani ya mwanamume na kuziba mirija yote miwili inayotoa mbegu za kiume kutoka kwenye korodani zake. Kwa hiyo mbegu za kiume haziwezi kukutana na yai la mwanamke.
1. Njia ya uzazi wa mpango ya kudumu
2. Hakuna kinachohitajika badala ya njia hii mfano kondomu
3. Hakuna haja ya kubadili vifaa.
1. Matatizo madogo ya muda mfupi ya upasuaji k.m. maumivu
2. Matatizo yasiyo ya kawaida ya upasuaji k.m. Vujadamu.
3. Inahitaji upasuaji mdogo na wafanyikazi waliofunzwa.
4. Operesheni ya kurudi nyuma ni ngumu na ya gharama kubwa
Nani anaweza kutumia njia
1.Mwanaume ambaye hataki kuwa na watoto zaidi.
Ambao hawawezi kutumia njia
-Mwanaume ambaye anaweza kutaka kuwa na watoto zaidi
Mwisho: Hakuna kinga dhidi ya maambukizo ya zinaa pamoja na VVU/UKIMWI
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo tunapaswa kujua au kufahamu kuhusu mbegu za kiume, kwa kuwa mbegu za kiume usaidia katika utungaji wa mimba kwa hiyo ni vizuri kabisa kuzitunza Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa s
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...posti hii inaelezea kuhusiana tatizo la muingiliano wa majimaji ya seli za Mtoto kwenye Damu ya mama mjamzito ambao hujulikana Kama Amniotic Fluid Embolism ni hali adimu lakini mbaya ambayo hutokea wakati Maji ya amniotiki Majimaji ambayo huzunguka mtot
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...