katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutumia case kwenye databse ili kuchakata taarifa za matokeo
katika somo hili utakwenda kujifunza namna ambavyo unaweza kutumia case katika kuchakata data husika.
chukulia mfano una list hii ya wanafunzi na maksi zao kwenye database yako. sasa tunataka data zetu ziweke column nyingine ya kuonyesha grade,kama ni 41 kwenda juu hiyo ni A, na 31 kwenda 40 hiyo ni B na 21 - 30 hiyo ni C na 11 - 20 hiyo ni D na 0 - 10 hiyo ni F. sasa hapo ndipo tunahitaji kutumia case.
program yetu itakwenda kuangalia yenyewe hizo maksi kisha itatengeneza column nyingine ya GRADE. kwanza tengeneza database iize matokeo ama jina lolote, kisha tengeneza tebo iite majibu ama jina lolote. kisha weka data hizo hapo chini. usisahau kuweka column ya id ama tumia code hizi za sql kutengeneza database na tebo hiyo
CREATE TABLE `majibu` (
`id` int(11) NOT NULL,
`jina` varchar(255) NOT NULL,
`alama` int(11) NOT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4 COLLATE=utf8mb4_general_ci;
INSERT INTO `majibu` (`id`, `jina`, `alama`) VALUES
(1, 'Juma', 45),
(2, 'Halima', 32),
(3, 'Daudi', 15),
(4, 'Saidi', 28),
(5, 'Semeni', 8);
ALTER TABLE `majibu`
ADD PRIMARY KEY (`id`);
ALTER TABLE `majibu`
MODIFY `id` int(11) NOT NULL AUTO_INCREMENT, AUTO_INCREMENT=6;
COMMIT;
Kanuni za kutumia case
kwanza utaandika keyword case ikifuatiwa na keyword WHEN kisha itafuatiwa na sharti unalotaka kuweka mfano case WHEN alama > 40 baada ya kuweka sharti utawekakeyword THEN ikifuatiwa na matokeo yaani nni kitokee endapo shari limetimia? mfano case WHEN alama > 40 THEN A itafuatiwa na ELSE ili kuonyesha matokeo nini kionekane endapo sharti halikufikiwa.mfano case WHEN alama > 40 THEN A ELSE “ongeza bidii”. mwisho wa case yako baada ya kuweka sharti zako zote utamaliza na neno END likifuatiwa na AS utaweka jina la column mpya yenye hizo grade. kwa mfano column yetu hapo tutaiita GRADE.
case WHEN alama > 40 THEN A ELSE “ongeza bidii” END as GRADE. code nzima itaonekana hivi
SELECT *,
CASE
WHEN alama > 40 THEN 'A'
ELSE 'Ongeza bidii'
END as GRADE
FROM `majibu` ;
Sasa wacha wacha tuweke case kwa ajili ya ku display grade A, B, C, D na F
SELECT *,
CASE
WHEN alama > 40 THEN 'A'
WHEN alama > 30 AND alama <41 THEN 'B'
WHEN alama > 20 AND alama < 31 THEN 'C'
WHEN alama > 10 AND alama < 20 THEN 'D'
ELSE 'F'
END as GRADE
FROM `majibu` ;
Kwa namna kama hii tunaweza kuongeza ">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo ili utakwend akujifunza jinsi ya kuweza kutengeneza variable kwenye database ya mysql
Soma Zaidi...Wakati mwingne utahitaji kuwa na function ili kurahisisha uchakataji wa data nyingi bila ya kurudia rudia kuandika code.
Soma Zaidi...Function hizi ni muhimu katika kubadili data kabla ya kuzionyesha. Hii ni muhimu ili kupata structure maalum ya data.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutafuta rank ama position kwenye data base yako kwa kutumia sql. Pia utajifunza kuhusu table alias
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu Primary Key na Foreign Key
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa data kutoka kwenye database, kwa kudhibiti mpangilio wake.
Soma Zaidi...Somo hili ni muendelezo wa pale tulipoishia katika somo lililopita, hapa tutakwenda kusoma Stored Procedure katika MySQL na Tofauti na Function
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka data kwenye database, ku edit pamoja na kufuta kwa kutumia SQL na Myql interface
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza nadharia nzima ya view.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za data zinazotumika kwenye mysql database
Soma Zaidi...