Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za kizunguzungu zinazotekea katika mwili wa binadamu
Dalili za kizunguzungu
1.Maumivu ya kichwa; kichwa kinapouma hupelekea kupata kizunguzungu
2.mapigo ya moyo kuenda haraka; moyo unapofanya kazi haraka au kishindwa kufanya kazi hupelekea kizunguzungu .
3.homa Kali; mtu akiwa na homa hupelekea hadi kichwa kuuma mwili kudhohofika na kizunguzungu huweza kutolea.
4.mwili kukosa nguvu(body weakness). Mwili ukikosa nguvu husababishwa na vitu vingi Kama vile njaa, Magonjwa mbalimbali.
5.kukaa mda mrefu bila kula au kunjwa maji ya kutosha; moja kwa moja chakula hujenga mwili na kuupatia mwili nguvu sasa mwili ukikosa chakula na maji kizunguzungu lazima kitokee.
6.magonjwa ;Kuna Magonjwa huja na kizunguzungu
7.dawa (other drugs) Kila dawa Ina Faida nahasara zake lakini Kuna dawa zikitumiwa lazima kupatwa na kizunguzungu mfano dawa za kutibu moyo,presha,UTI, typhoid na nyinginezo nyingi.
8.baadhi ya magonjwa; Kuna Magonjwa ukiumwa au kuyapata Ni lazima kizunguzungu kuwepo Kama vile vidonda vya tumbo.
9.kutapika na Kuharisha kupita kiasi; kutapika na Kuharisha Sana kunapunguza maji mengi mwili na mwili hukosa nguvu na mwili ukikosa nguvu lazima kizunguzungu kitakuwepo
Mwisho; kizunguzungu sio Ugonjwa Ila Ni vyema kuzingatia kupata muda wa kupumzika,kula,kunywa maji ya kutosha pia ukitumia dawa Ni vyema kupumzika kwanza ili kuepuka kupata kizunguzungu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu sana kuhusu ugonjwa wa ebora. Ugonjwa huu usababishwa na virusi.Virusi hivyo husababisha kutokwa na damu nyingi mwilini kutokana na kupasuka kwa mishipa ya damu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi ambayo kwa kawaida utokea pale ambapo kinga ya mwili inashuka.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa.
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kuelezea mambo machache kuhusu ugonjwa wa kisukari
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kaswende wakati wa ujauzito, kaswende inaweza kukaa kwa mtu zaidi ya miaka mingi bila kuleta madhara ya moja kwa moja lakini kadiri ya siku zinavyokwenda madhara utokea hasa wakati wa ujauzito, madhara hayo umwadhiri mtot
Soma Zaidi...Haya ni masharti ya mwenye vidonda vya tumbo. Mgojwa wa vidonda vya hatumbo hatakiwi kufanya yafuatayo
Soma Zaidi...