Mwanadamu hawezi kuishi bila dini, kwani dini imekusanya mfumo mzima wa maisha yake.
Mwanaadamu hawezi kuishi bila Dini
Mwanaadamu hawezi kuishi bila dini kwa sababu zifuatazo:
A. Maana halisi ya dini
Tunaona kuwa maana halisi ya dini kwa mtazamo wa Qur’an ni utaratibu au mfumo wa maisha anaoufuata mwanaadamu katika kuendesha maisha yake ya kila siku.
Hivyo kwa vyovyote vile mwanaadamu katika kuendesha maisha yake ya kila siku atakuwa anafuata dini moja au nyingine. Hana namna yoyote ya kuishi bila dini.
B. Vipawa
C. Umbile la mwanadamu
Tutaangalia sababu hizo mbili za mwisho kwenye post zinazofuata.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Ni kipi chanzo cha Elimu, na ni kwa namna gani Allah hufundisha Elimu kwa wanadamu?
Soma Zaidi...(i) Kutiishiwa Upepo Qur'an inatufahamisha kuwa Nabii Sulaiman alitiishiwa upepo akaweza kuutumia apendavyo kwa amri yake.
Soma Zaidi...Mtazamo wa uislamu kuhusu dini (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...