Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Somo hili ni muendelezo wa masomo mawili yaliotangulia nyuma. Hvyo basi hapa nitakwenda kukuletea orodha ya mabadliko ya mafaili yote yaliobadilishwa baada ya kutumia prepared statement.
Pia tutakwenda kutatuwa tatizo la kufuta pica. Hapa tutakwenda kutatua liletatizo unapo edit icha le ya zamani inabakia.
Ili kuelewa vyema somo hili tafadhali rejea mazomo mawili yaliotangulia kwa njia ya video. Tembelea channel yetu ya youtube inayopatikana kwa link hii youtube.com/@tehama-tz
dashboard.php
<html>
<head>
<title>Dshboard</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<style>
table, th, td {
border:1px solid black;
}
.dol{
margin: 0 auto;
max-width: 70%;
}
</style>
</head>
<body>
<h1><a href="post.php">Ongeza post</a> </h1>
<table>
<tbody>
<th>id</th>
<th>Image</th>
<th>Title</th>
<th>Publshed</th>
<th>Updated</th>
<th>Publsher</th>
<th>Soma</th>
<th>edit</th>
<th>Delete</th>
<?php
include "config.php";
$sql= $conn->prepare("SELECT * FROM posts");
$sql->execute();
$result = $sql->get_result();
while ($post = $result->fetch_assoc()){?>
<tr>
<td><?php echo $post['id']?></td>
<td><img src="upload/<?php echo $post['image']?>" height="5%" width="5%"></td>
<td><?php echo $post['title']?></td>
<td><?php echo $post['post_time']?></td>
<td><?php echo $post['updated_time']?></td>
<td><?php echo $post['publisher']?></td>
<td><a href="view.php?id=<?php echo $post['id']?>">Soma</a> </td>
<td><a href="edit.php?id=<?php echo $post['id']?>">edit</a> </td>
<td><a href="delete.php?id=<?php echo $post['id']?>">Futa</a> </td>
</tr>
<?php }?>
</tbody>
</table>
</body>
</html>
delete.php
$id = filter_var($_GET['id'], FILTER_SANITIZE_NUMBER_INT);
include "config.php";
$sql= $conn->prepare("SELECT image FROM posts where id =?");
$sql->bind_param("i", $id);
$sql->execute();
$result = $sql->get_result();
while ($post = $result->fetch_assoc()){
$image = $post['image'];
unlink("upload/".$image);
$sql= $conn->prepare("DELETE FROM posts where id =?");
$sql->bind_param("i", $id);
$sql->execute();
header("location:dashboard.php");
}
post.php
<html>
<head>
<title>create your post</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<script src="https://cdn.ckeditor.com/4.16.2/standard/ckeditor.js"></script>
<script src="ckeditor.js"></script>
<link rel="stylesheet" href="style.css">
</head>
<body>
<form action="" method="post" enctype="multipart/form-data">
<label for="title">Title</label><br>
<input type="text" name="title" placeholder="write your post title" id="title"><br>
<label for="summary">Summary</label><br>
<input type="text" name="summary" placeholder="write your post summary" id="summary"><br>
<label for="content">content</label><br>
<textarea name="content" id="content" placeholder="wrte your post content"></textarea>
<script>CKEDITOR.replace( 'content' );
</script>
<label for="publisher">publisher</label><br>
<input type="text" name="publisher" placeholder="write your post publisher" id="publisher"><br>
<label for="date">Date</label><br>
<input type="date" name="date" placeholder="write your post date" id="date"><br><br>
<label for="image">upload your image</label>
<input type="file" name="file" accept="image/*" id="image"><br><br>
<input type="submit" name="submit" value="submit">
</form>
<br><br>
</body>
</html>
<?php
include "config.php";
if (isset($_POST['submit'])) {
//start code
// form variables
$title = filter_var($_POST['title'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$summary = filter_var($_POST['summary'], FILTER_SANITIZE_STRING);
$content = $_POST[">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Aina za cache header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya utengeneza json data kwa utumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...