Matatizo ya macho yanaweza kuruthiwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto. hata hivyo shughuli zetu na vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo haya. Hapa nitakuletea vyakula muhimu kwa afya ya macho yako.
Vyakula muhimu kwa afya ya macho:-
1. Samaki
2. Vyakula aina ya karanga na korosho
3. Mbogamboga za rangi ya kijani kama mchicha na kabichi kwa jili ya kupata vitamini A
4, Vyakula vyenye uchachu kama limau na ndimu kwa ajili ya kupata vitamini c kwa wingi
5. Karoti
6. Nyama
7. mayai
8. viazi vitamu
9. Mbegu kama mbegu za chia
10 maji kwa wingi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote?
Soma Zaidi...Makala hii iatakuletea aina kuu tano za vywkula vyenye protini nyingi zaidi. Kama ulikuwa unajiuliza kuwa ni vyakula ipi hasa vinaweza kukupatia protini kwa wingi ni vipi, makala hii ndio majibu yako kwa swali hilo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.
Soma Zaidi...