picha
UOVU WA KUMZULIA MUUMINI UZINIFU NA MAOVU MENGINE NA HUKUMU DHIDI YA WAZUAJI

Kumzulia mtu mtwahirifu kuwa amefanya tendo la zinaa pasina kuleta ushahidi stahiki ni tendo ovu mno mbele ya Allah (s.

picha
USHAHIDI JUU YA KOSA LA UZINIFU

Ushahidi wa kuthibitisha kutendeka kwa kosa la uzinifu unapatikana kwa namna tatu zifuatzo: ...

picha
MAKEMEO JUU YA ZINAA NA HUKUMU KWA WAZINIFU.

Tendo la zinaa ni tendo chafu kimaadili na Allah (s.

picha
KUJIEPUSHA NA MARINGO NA MAJIVUNO

Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri.

picha
KUJIEPUSHA NA KUFUATA MAMBO KWA KIBUBUSA

Waislamu wanakatazwa kufanya na kufuata mambo kwa kibubusa (kwa mkumbo) bila ya kuwa na ujuzi unaostahiki.

picha
KUJIEPUSHA NA KULA MALI YA YATIMA

Waumini wanawajibika kuwatunzia mayatima mali zao na kuwakabidhi wanapofikia baleghe yao baada ya kuwajaribu na kuthibitisha kuwa wanao uwezo wa...

picha
KUJIEPUSHA NA KUKARIBIA ZINAA

Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa.

picha
MAFUNZO YATOKANAYO NA HISTORIA YA NABII MUSA(A.S) NA HARUN(A.S)

Kutokana na Historia ya Nabii Musa na Harun(a.

picha
KUJIEPUSHA NA KUKARIBIA ZINAA

Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa.

picha
KUSILIMU KWA WACHAWI WA FIRAUN

Mawaziri waliokuwa washauri wakuu wa Firauni wakataka wakusanywe magwiji waliobobea katika uchawi nchi nzima, kisha wapambanishwe na Nabii Musa(as).

picha
MUSA(A.S)KUPEWA UTUME RASMI

Musa alipotimiza muda, alifunga safari na ahali zake kurejea Misri.

picha
MUSA(A.S) AHAMIA MADIANI

Mchana wa siku moja Musa(a.

picha
MAFUNZO YATOKANAYO NA HISTORIA YA NABII SHU’AYB(A.S).

Kutokana na kisa cha Nabii Shu’ayb(a.

picha
MAAMRISHO YA KUSHIKAMANA NAYO

Yale tunayoamrishwa kushikamana nayo ni haya yafuatayo: (i)Kumuabudu Allah (s.

picha
KUANGAMIZWA WAOVU NA KUOKOLEWA WAUMINI

Baada ya kuonywa wasionyeke, Allah(s.

Page 51 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.