Dalili za ugonjwa wa fungusi uken
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo.
Dalili za ugonjbwa wa fungusi uken
1. Kuwasha sehemu za Siri
2. Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana
3. Kuhisi kuwasha moto baada ya kujamiiana
4. Kuwepo kwa vidonda ukeni
5. Kuvimba na kuwepo kwa rangi nyekundu katika mdomo wa nje wa uke
6. Kuhisi maumivu makali wakati wa kukojoa
7. Uchafu kutoka ukeni unaweza kuwa nzito.au mrahini
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 web hosting 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Fahamu Dalili zinazotokana na kuzama kwenye majj kwa watoto.
Kuzama hufafanuliwa kama mchakato unaosababisha upungufu mkubwa wa kupumua kutokana na kuzamishwa kwenye chombo cha kuogelea (kioevu). Kuzama hurejelea tukio ambalo njia ya hewa ya mtoto huzamishwa kwenye kioevu, na kusababisha kuharibika kwa kupumua.
Soma Zaidi...Dalili za upotevu wa kusikia
posti hii inazungumzia kuhusiana na Upotevu wa kusikia unaotokea hatua kwa hatua kadri umri unavyozeeka (presbycusis) ni jambo la kawaida. T Kwa wale walio na umri wa zaidi ya miaka 75, idadi ya watu walio na upotezaji wa kusikia inakaribia 1 kati y
Soma Zaidi...Tahadhari za ugonjwa wa UTI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu tahadhari za kuchukua ili kujikinga na UTI
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo kitomvuni, sababu zake na dalili zake
Hapa utajifunza sababu za kuwepo na maumovu ya tumbe kitomvuni.
Soma Zaidi...Dalili za fangasi Mdomoni.
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa.
Soma Zaidi...