NNA SWALI MIMI NIMEFANYA ROMANCE NA MTU AMBAYE SIJAMPIMA KBSA SASA NAOGOPA ANAEZA KUWA MGONJWA NA MM NKAUPATA


image


Muulizaji anauliza he kula denda, ama kumbusu ama kufanya romance na muathirika was HIV na wewe uta ambukizwa?


Nna swali mimi nimefanya Romance na mtu ambaye sijampima kbsa sasa naogopa anaeza kuwa mgonjwa na mm nkaupata

 

Jibu la ufupi hapana. Huwezi kupata ukimwi Kwa Kwa njia ya mate, mkojo, ama jasho.

 

Pia huwezi kupata ukimwi Kwa kufanya romance na muathirika.

 

Pia huwezi kupata ukimwi Kwa kupitia mbu, kunguni ama kiroboto kutoka Kwa muathirika.



Sponsored Posts


  👉    1 Mafunzo ya php       👉    2 Jifunze fiqh       👉    3 Magonjwa na afya       👉    4 Maktaba ya vitabu       👉    5 Hadiythi za alif lela u lela       👉    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za maambukizi kwenye magoti
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mtu anaweza kupata ikiwa Kuna maambukizi kwenye magoti, kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha maumivu au maambukizi kwenye magoti Kuna dalili za mwanzo ambazo zinajitokeza kama tutakavyoona hapo chini Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa vericose veini
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini Soma Zaidi...

image Sababu zinazoweza kusababisha kukosa choo (kinyesi)
Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi hadi kupoteza kabisa uwezo wa kudhibiti utumbo. Sababu za kawaida za kutoshika kinyesi  ni pamoja na Kuhara, Kuvimbiwa na uharibifu wa misuli au neva. Uharibifu wa misuli unaweza kuhusishwa na kuzeeka. Haijalishi ni sababu gani, Upungufu wa kinyesi unaweza kuaibisha. Lakini usiogope kuzungumza na daktari wako. Matibabu yanapatikana ambayo yanaweza kuboresha Upungufu wa kinyesi na ubora wa maisha yako. Soma Zaidi...

image Vinywaji vyakula salama kwa mwenye Presha ya kupanda
Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe, chai na kahawa. Bila shaka ungependa kujuwa zaidi kuhusu jambo hili. Makala hii ni kwa ajili yako Soma Zaidi...

image Vidonda vya tumbo chanzo chake na dalili zake
Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula. Soma Zaidi...

image Mambo yanayoweza kudhoofisha kinga ya mwili
Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili? Soma Zaidi...

image Njia za kupunguza makali ya pressure au shinikizo la damu
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha. Soma Zaidi...

image Sababu za kuwepo fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi. Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa ,kwa kawaida Ugonjwa huu utokea kuanzia kwenye wiki ya pili mpaka mwaka mmoja na hapo Ugonjwa unakuwa bado haujaonesha Dalili na Dalili zikishaonekana ni vigumu kutibika. Soma Zaidi...

image Matibabu ya maumivu chini ya kitovu
Post hii inahusu zaidi matibabu ya kutibu ugonjwa wa maumivu chini ya kitovu. Soma Zaidi...