picha
MAANA YA UISLAMU NA NGUZO ZAKE

Somo hili linaanza kwa kuelezea maana ya Uislamu kama mfumo kamili wa maisha unaojengwa juu ya imani na utiifu kwa Mwenyezi Mungu (Allah). Pia, tutazielewa nguzo tano za Uislamu ambazo ndizo msingi wa dini hii tukufu. Mwishoni, tutajifunza maana ya neno Fiqh ambalo ndilo msingi wa mfululizo wa darsa hizi. Hili ni somo la msingi kwa yeyote anayetaka kuelewa dini ya Kiislamu kwa ufasaha na kwa mpangilio wa kielimu.

picha
ASBAB NUZUL EP 3: SURAT AL-FāTIḥAH (ALHAMDU)

Sura hii ni msingi wa Qur’an yote; inafundisha tauhidi, ibada, dua, na hofu kwa Allah. Haina sababu ya kushuka iliyo bayana lakini ni ya msingi kwa kila sala na nyenzo ya uongofu.

picha
ASBAB NUZUL EP 2: AINA ZA SABABU ZA KUSHUKA KWA AYA NA MSIMAMO WA WANAZUONI KUHUSU RIWAYA ZA ASBāB AN-NUZūL

Elimu ya Asbāb an-Nuzūl huchunguza sababu za kushuka kwa aya. Somo hili linaeleza aina kuu za sababu hizo na namna wanazuoni wanavyothibitisha au kukosoa riwaya zake.

picha
MATUMIZI YA AI YANAATHIRI UWEZO WA UBONGO

Hii ni tafiti ambayo itakushangaza, kwa namna ambavyo matumizi ya AI yalivyo na athari kwenye uwezo wa kufikiri

picha
PYTHON SOMO LA 51: JINSI YA KUTENGENEZA MODEL YA MENU

Katika somo hili utakwend akujifunza ktengeneza model kwa ajili ya database table ya menu yetu.

picha
MLANGO WA SIRI EP 1: MWANZO WA SIRI

Simulizi hii inamfuata kijana anayeingia bila kujua kwenye safari ya siri kubwa ya kihistoria, akiifungua milango ya kale inayoficha ukweli kuhusu dunia, kizazi chake, na hatima ya wanadamu.

picha
SIRI YA MAUWAJI EP 5: MKULIMA WA GIZA

Amani alipata maandiko ya mjomba wake Moses, yaliyofichua uhusiano wa familia yao na shirika la siri Macho ya Usiku. Mama Nyawira alikiri kuwa mwanachama wa zamani. Kabla hajafichua zaidi, watu wa ajabu waligonga mlango kwa nguvu.

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 6: MCHANGO WA WAISLAMU KATIKA TIBA KIPINDI CHA ENZI YA DHAHABU YA UISLAMU

Hapa tutaangalia mchango wa wanazuoni wa Waislamu enzi za Golden Ages yaani zama za dhahabu, huu ni wakati ambao watu wa Ulaya walikuwa Gizani

picha
MARADHI YA KIFUA KIKUU (TUBERCULOSIS)

Katika somo hili utakwenda kujifunza sababu za kifua kikuu, dalili zake, njia za kujiepusha, na matibabu ya kifua kikuu.

picha
MARADHI YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA

Huu ni mfululizo mpya wa masomo yanayohusu maradhi yanayosababishwa na Bakteria

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 5: SAHABA WA KWANZA KUWA NESI - UFAIDA AL-ASLAMIA

Wakati ambao watu wa Ulaya mwanamke hakuwa na nafasi yeyote kubwa ya kijamii, katika Uislamu miaka 1200 kabla tayari kulisha kuwa na nesi Mwanamke.

picha
MUANGALIE ALIYE CHINI YAKO NA USIMUANGALIE ALIYE JUU

Katika hadithi hii utakwenda kujifunza hekma ya kuangalia watu walio chini yako na sio walio juu yako

picha
HAKI ZA MUISLAMU KWA MUISLAMU MWENZIE

Katika makala hii utakwenda kujifunza kuhusu haki za Muislamu kwa Muislamu mwenzie

picha
PYTHON SOMO LA 50: DATABASE KWNEYE DJANGO

Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model

picha
VIPI MATOLEO YA SOFTAWE (VERSION) YANAANDIKWA

Katika somo hili utajifunza utaratibu unaotumiwa kuweka matoleo kwnye software.

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 4: MARIAM AL-ASTRULABI: MWANAMKE MWISLAMU ALIYELETA MAPINDUZI KATIKA SAYANSI YA ASTROLABE KATIKA KARNE YA 10

Katika uislamu mwanamke alikuwa na haki sawa na wanaume katika swala la kusjoma na kutafuta elimu. Makala hii itamuangalia mwanamke aliyeleta mapinduzi karne ya 10

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 3: VIPI UISLAMU ULIMPA HADHI MWANAMKE

Uislamu ulikuja kumkomboa mwanamke kutokana na dhulma alizokuwa akifanyika katika jamii.

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 2: CHUO KIKUU CHA KWANZA DUNANI

Chuo kikuu cha wanza duniani cha Elimu kielimu hakukihusu tu waislamu bali hata ambao sio waislamu walipata fursa ya kujifunza.

picha
UISLAMU NA ELIMU EP 1: VIPI UISLAMU ULISAIDIA KUHIFADHI KAZI ZA WANAFALSAFA WA KIGIRIKI

Kabla ya falsafa za ukiriki kufika ulaya, Wislamu ndio waliozihifadhi, na baadaye kuja kutafsiriwa kilatini na kuwafikia watu wa Ulaya

picha
SIRI YA MAUWAJI EP 4:

Amani alirejea msituni kufuatilia maono ya kipande cha chuma. Alikutana tena na mzee wa ajabu aliyemweleza kuhusu shirika la siri

picha
SIRI YA MUWAJI EP 3: DAMU YA WALIOANGUKA

Amani anakuja tena msituni kwa mara nyingine wakati wa usiku. Nini kitatokea , na nini hasa kumemleta, je bibi anahusika vipi?

picha
KOTLIN SOMO LA 26: DHANA YA CLASS, OBJECT NA METHOD KWENYE KOTLIN

Katika soomo hili utakwenda kujifunza kuhusu class, maana yake, na jinsi ya kuitengeneza

picha
SIO SALAMA KWA MTOTO WA UMRI CHINI YA MWAKA MMOJA KUPEWA ASALI

Kwa nini hutakiwi kumpa mtoto wa umri wa chini ya mwaka mmoja kumpa asali?

picha
PYTHON SOMO LA 25: NADHARIA YA OBJECT ORIENTED PROGRAMMING

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming

Page 1 of 221

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.