Fahamu dalili za hatari kwa wajawazito.

Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mama mjamzito, kwa sababu kuna baadhi ya Dalili zikitokea kwa mama mjamzito ni vizuri kabisa kuwahi hospitali mara moja.

Dalili za hatari kwa wajawazito.

1. Kutokwa na damu ujenzi.

Hii ni Dalili ya hatari kwa sababu huwezi kujua damu hiyo inatoka sehemu gani na ni shida gani kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwahi hospitali.

 

2. Mwili kukakamaa au kifafa.

Kwa kawaida kukakamaa au kifafa kwa wajawazito ni Dalili ya  hatari inawezekana ni kuwepo kwa presha isiyo ya kawaida ni vizuri kabisa kuwahi hospitali mapema.

 

3. Maumivu makali ya kichwa yaliambatana na kukosa nguvu ni vizuri kabisa kuhakikisha usalama wa mama na mtoto ili kuwahi matibabu.

 

4. Homa za mara kwa mara na mwili kushindwa kutembea.

 

5. Maumivu makali ya tumbo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/21/Thursday - 11:13:23 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1054


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-