Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Umuhimu wa uzazi wa mpango
1. Kupata idadi ya watoto unaohitaji
2. Kuepuka mimba zisizotarajiwa
3. Kuepusha vifo vya mama na mtoto
4. Kuongeza upendo kwa watoto
5. Kumsaidia mama kupata mda wa kushiriki kwenye kazi za jamii
Njia za mbalimbali za uzazi wa mpango
1. Kutumia vidonge
2. Kutumia sindano
3. Kutumia kondomu
4. Kukata milija ya uzazi
5. Kuangalia Ute
6. Kutumia kalenda.
Nani anapaswa kutumia njia hizi
1. Wanawake wote wanapenda
2. Wasichana wanaoendelea na masomo
3. Na wote wenye elimu juu ya njia hizi
Nani hapaswa kutumia njia hizi
1 wanawake wenye mimba
2. Wanye alegi juu ya njia hizi
3. Wale wasio na elimu juu ya njia hizi
4,. Wenye maginjwa ya Kansa
Kwa ujumla njia za uzazi wa mpango ni nzuri maana husaidia kupunguza vifo vya mama na wato,.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba inataka kutoka, mimba za aina hiyo kwa kitaalamu huitwa inevitable pregnant ni lazima itoke tu hata kama kuna juhudi mbalimbali za wataalamu mimba hii utoka kabisa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa Mwanaume, ni njia ambazo utumiwa na wataalam mbalimbali Ili kuweza kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuzuia mimba zisiharibike, kwa sababu kila mama anayebeba mimba anategemea kupata mtoto kwa hiyo na sisi hamu yetu ni kuhakikisha kwamba mtoto anazaliwa kwa kuzuia mimba kuharibik
Soma Zaidi...Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Soma Zaidi...