Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa

Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa

Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa

😍Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa

 

👙 Jibu

Kuhusu style za tendo la ndoa zipo nyingi zaidi ya 15. Hata hivyo staili nzuri ni ile ambauo itakayowafikisha watu wawili hao kileleni. 

 

Staili zinatofautiana na si zote ambazo mshiriki wa tendo atazifurahiya. Staili nyingine zinakuwa na maumivu zonapotumika kwa muda mrefu.  Pia zipo ambazo zinahitajia mazoezi. 

 

Sasa ni ipo style bora: 

Jibu style bora inategemeana na utayari wa wahusika.  Tafitivzonaonyesha kifo cha mende au missionar style ni nzuri zaidi kwa kuwa inawezesha uume kupita vyema endapo itatumika kwa ufasaha. 

 

Hatavhivyo kwa baadhi ya wanawake inawezabkusababisha maumivu ta tumbo wakati wa tendo au baada.  Hii inawezabkutokea endapo uume utakwenda ndani zaidi,  au endapo mwanamke atamezavhewa nyingi. 

 

Style nyingine zitakuwa bora zaidi kulingana na tendo litakavyofanyika.  Kwa mfano hakuna haja ya kufanya kwa kasi sana. Kwani hali hii inaweza kusababisha michubuko hatimaye maumivu zaido. 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 13415

Share On:

Share follows: 2 | Unique share links followed: 2
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 web hosting     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Zijue sababu za kushindwa kushuka kwa makende (testicle))

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).

Soma Zaidi...
Vyakula Vinavyoongeza Kinga ya Mwili.

​Blogu hii inaangazia umuhimu wa lishe bora katika kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili. Tutajadili vyakula mahususi vyenye virutubisho muhimu, umuhimu wa vitamini na madini, pamoja na ukweli wa kisayansi kuhusu jinsi lishe inavyochangia afya yako kwa ujumla.

Soma Zaidi...
Dalili na sababu za mawe kwenye in yaani liver stone au intrahepatic stones

Katika post hii utakwend akujifunza kuhusu tatizo la kuwa na vijiwe kwenye ini vijiwe hivi hufahamika kama intrahepatic stones.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kisukari

Ugonjwa wa kisukari hurejelea kundi la magonjwa yanayoathiri jinsi mwili wako unavyotumia sukari kwenye damu (glucose). Glucose ni muhimu kwa afya yako kwa sababu ni chanzo muhimu cha nishati kwa seli zinazounda misuli na tishu zako. Pia ndio chanzo ki

Soma Zaidi...