picha
NANI ALIKUWA NI SAHABA WA KWANZA KUFARIKI AKIWA SHAHIDI

Sahaba wa kwanz akufariki akiwa shahidi, alifariki kwa sababu ya mateso aliyoyapata kutoka kwa Makafiri wa ki Quraysh

picha
NI NANI ALIKUWA SAHABA WA MWISHO KUFARIKI

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu nani alikuwa wamwisho kufariki katika masahaba wa Mtume kwa mujibu wa historia

picha
NGUZO ZA IMANI KATIKA UISLAMU NA MAFUNZO YAKE

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu nuzo 6 za imani ya uislamu na pia utajifunz akuhusu mafunzo yanayoweza kupatikana kwenye Nguzo hizi.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 70: KUHAMA KWA MTUME MUHAMMAD S.A.W KUELEKEA MADINA

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu safari ya Mtume Muhammad s.a.w kuelekea Madina. Utajifunza changamoto za safari alizokutana nazo.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 69: KIKAO CHA KUMUUWA MTUME MUHAMMAD S.A.W KINAKALIWA

Katika somo hili utajifunza mambo yaliojiri katika kikao kilicho andaliwa kwa ajili ya kumuuwa Mtue Muhammad s.a.w. Katika kikao hiki mpaka Iblis alihudhuria

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 68: WAISLAMU WANAHAMIA MADINA

Katika somo hili utakwend akujifunz ahistoria ya kuhamia Madina kwa waisalmau. Namna ambavyo walihama na mateso waliokuwa wakiyapata.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 67: MKATABA WA 'AWA PILI

Hii ni historia fupi ya makataba wa pili wa aqaba ambao ulifanywa kati ya Mtume wa Allah na waislamu wa Madina kutoka katika makbila ya aws na Khazraj

picha
PHP SOMO LA 93: JINSI YA KUTUMIA FAILI LA ENV

Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri

picha
PHP SOMO LA 92: JINSI YA KUUNGANISHA PHP NA DATABASE YA SQLITE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.

picha
DATABASE SOMO LA 25: UTANGULIZI WA DATABASE YA SQLITE

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu aina nyingine ya database inayoitwa sqlite. Hii haihitaji server, na ni faili moja tu.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 66: MKATABA WA AQABA WA KWANZA

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Mkataba wa Aqaba wa kwanza

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 65: SAFARI YA ISRAA NA MIRAJ

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu historia ya safari ya sira na miraji na yanayopatikana katika safari hiyo

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 64: NDOA YA MTUME MUHAMMAD BAADA YA KHADIJA

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu Ndoa Mtume Muhammad baada ya Bi Khadija alimuoa Sauda kisha Aisha

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 63: KUINGIA UISLAMU MADINA

Katika somo hili utakwend akujifunz ahistoria ya kuingia Uislamu katika mji wa Makkah

picha
DATABASE SOMO LA 24: TRANSACTION KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya transaction kwenye database

picha
DATABASE SOMO LA 23: VIEW KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwend akujifunza nadharia nzima ya view.

picha
DATABASE SOMO LA 22: PRIMARY KEY NA FOREIGN KEY

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu Primary Key na Foreign Key

picha
DATABASE SEOMO LA 21: CONSTRAINTS KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu nadharia ya Constraints kwenye Database

picha
PYTHON SOMO LA 35: JINSI YA KUTUMIA MYSQL KWENYE PYTHON

Katika somo hili utajifunz akutumia database kwenye python

picha
PYTHON SOMO LA 34: KUTUMIA HTML KWNEYE PYTHON

Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kutumia html kwneye python

picha
SQL SOMO LA 20: JINSI YA KUUNGANISHA TABLE KWNEYE DATABASE

Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database.

picha
SQL SOMO LA 19: STORED PROCEDURE KATIKA MYSQL NA TOFAUTI NA FUNCTION

Somo hili ni muendelezo wa pale tulipoishia katika somo lililopita, hapa tutakwenda kusoma Stored Procedure katika MySQL na Tofauti na Function

picha
JSON SOMO LA 7: AINA ZA DATABASE AMBAZO ZINAFUATA MTINDO WA JSON

Kuelewa aina mbalimbali za database zinazotumia au kufuata mtindo wa JSON kwa uhifadhi wa data, faida zake, na mifano ya matumizi.

Page 2 of 217

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.