picha
FAIDA ZA KULA PILIPILI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pilipili

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA TANGAWIZI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kutumia tangawizi

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA NYANYA

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya

picha
FAIDA ZA KULA PAPAI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai

picha
FAIDA ZA KULA NDIZI

Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi

picha
FAIDA ZA KULA TIKITI

Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili

picha
FAIDA ZA CHUNGWA NA CHENZA ( TANGARINE)

Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini

picha
FAIDA ZA LIMAO AU NDIMU

Post hii itakwenda kukueleza umuhimu wa limao kiafya

picha
FAIDA ZA KULA EMBE

Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya

picha
NAPENDA KUULIZA MKE WANGU ANAMUDA WA WIKI MOJA . TUMBO NA MAZIWA VINAUMA JE DALILI HIZO ZINAWEKUWA NI UJAUZITO...?

Maumivu ya tumbo kwa mjamzito huweza kuanaa kuonekana mwanzoni kabisa mwaujauzito, ndani ya mwezi mmoja. Ikabidi si dalili pekee ya...

picha
MWENYE UJAUZITO WA WIKI MOJA NA ANA U.T.I ANAWEZA KUTUMIA DAWA ZA AINA GANI AMBOZO ZITAKUA SALAMA KWA KIUMBE KILICHOANZA KUKUA?

Ujauzito unaweza kutoka kwa sababu nyingi kama maradhi, madawa, vyakula na ajali. Unawezakutoa mimba bila kujuwa amakwakujuwa. Damu kutoka...

picha
JE MTU AKAPIMA UKIMWI NA KILE KIPIMO KIDOGO .JE KINA USAHIHI AU LA ..NA PIA KAMA INAONYESHA MISTARI MIWILI.

Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu?

picha
JE, MTU ANAWEZA KUSOMA QURAN AKIWA AMELALA?

Kusoma Qur'an kuna faida kubwa kwa Muislamu, kwanza kunampatia thawabu, kunatoa nuru maisha yake, mwili wake na kumlinda na mashetani...

picha
FAIDA ZA KULA NANASI

Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya

picha
MWEZI JUZI NILIINGIA TARHE 21 ILA MWEZ ULOISHA NMEINGIA TARH 25 MAANA MZUNGUKO WANGU UMEKUWA MREFU NIKAHS NAUJAUZITO KUMBE MZUNGUKO UMEBADILIKA HAPO TATZ N NN

Posti hii utakwenda kutoa sababu kuu za kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi. Kama na wewe numiongini mwaka endelea kusoma

picha
FAIDA ZA KULA APPLE (TUFAHA)

Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya

picha
FAIDA ZA KULA PARACHICHI

Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya

picha
ASSALAM BAADA YAKUFARIKI WAZAZI WAKE MTUME ALILELEWA NANANI???

Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada...

picha
FAIDA ZA KULA ZABIBU

Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya

picha
JE MINYOO INAWEZA KUSABABISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA KUWA DHAIFU?

Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea...

picha
HALOW SAMAHAN DOKTA NMEKUWA NIKIUMWA TUMBO MUDA MWINGI TAKRIBAN WIKI YA 3 HALIPON NAHARISHA KUNA MUDA NIKILA CHAKULA HATA KAMA KDOGO TU MAUMIVU MAKALI,JE NIFANYAJE MSAADA

Mvurugiko katika mfumo wa chakula mwilinivunaweza kusababisha maumivu ya tumbo, kuharisha, kutapika na kuchoka pia. Lakini zipo sababu nyingine...

picha
NNA MIMBA YA MIEZ MIEZI MITANO 5 NARUHUSIWA KULA PAPAI KWA WING

Miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi ni pamoja na papai, nanasi, tikiti, palachichi, pera, ...

picha
JE VIDONDA VYA TUMBO HUSABABISHA MAUMIVU MPKA UPANDE MMOJA WA MGONGONI !?

Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu...

picha
MIE NI MWANAMKE NINAMAUMIVU CHINI YA KITOVU UPANDE WA KUSHOTO, NA NIKISHIKA TUMBO NAHISI KITU KIGUMU UPANDE HUO HUO WA KUSHOTO... HII ITAKUA NI NINI?

Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye....

Page 221 of 225

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.