Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3:Dhana ya elimu ya uislamu)
Zoezi la 5.
(a) Eleza maana ya haki na uadilifu kwa mtazamo wa Uislamu.
(b) Bainisha ni ipi misingi ya haki na uadilifu katika Uislamu.
(a) Orodhesha aina za haki mbali mbali.
(b) toa maelezo kwa ufupi juu ya:
(i) Haki ya Mwenyezi Mungu (s.w).
(ii) Haki za nafsi.
Fafanua hali ya utumwa kabla ya Mtume (s.a.w).
Kwa kutumia mifano halisi ya maswahaba, onesha jinsi Uislamu ulivyopinga na kutokomeza biashara ya utumwa.
Onesha upotofu wa Uislamu kuhusishwa na biashara ya utumwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.
Soma Zaidi...Uislamu umeweka taratibu maalumu za kuzifata katika kusherehekea siku ya idi.
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha faida na umuhimu wa kijenga uchumi katika jamii ya kiislamu.
Soma Zaidi...