Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi
18. Faida za kiafya za nazi
1. nazi ina fati iliyo salama kwa afya (fatty acid)
2. Husaidia katika kuimarisha na kuboresha afya ya moyo
3. Husaidia katika uunguzwaji wa mafuta mwilini
4. Hupunguza njaa
5. Hupunguza kifafa
6. Huongeza cholesterol zilizo nzuri
7. Hulinda afya ya ngozi, nywele na meno
8. Huimarisha afya ya ubongo
9. Hupunguza mafuta mabaya kwenye tumbo (kitambi)
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Unaijuwa maana ya virutubisho vya protini, na kazi zake mwilini. Soma zaidi hapa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za majani ya mstafeli,ni majani ambayo utibu magonjwa mbalimbali hasa saratani, kwa hiyo tunapaswa kuyatumia ili tuweze kupata matibabu ya kansa mbalimbali.
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...