Faida za pilipili
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili
. Faida za kula pilipili
1. kuondosha kemikali mbaya mwilini
2. Hupunguza uwepo wa uvimbe mwilini
3. Huboresha afya ya ubongo
4. Hudhibiti kiwango cha sukarai mwilini
5. Hupunguza choleserol mbaya mwilini
6. Husaidia katika kupambana na saratani
7. Husaidia mwili katika kufyonza virutubisho kwenye chakula
8. Hupunguza maumivu
9. Hupunguza hamu ya kula
?
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA TUNDA PERA
Pera ni tunda bora lakini pia ni dawa, tambua umuhimu wa tunda hili kiafya
Soma Zaidi...Faida za kula Matunda
Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa.
Soma Zaidi...Faida za kula pilipili
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pilipili
Soma Zaidi...Vyakula vizuri kwa vidonda vya tumbo
Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...