Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi
3. Faida za kula palachichi
1. palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.
2. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
3. Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)
4. Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani
5. Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao
6. Hupunguza misongo ya mawazo
7. Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa
8. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini
9. Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi
10. Husaidia kuzukupata maradhi ya kisukari
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maharage kwa wingi, maharage ni aina ya chakula ambacho upatikanaji wake ni rahisi na watu wengi hawajui kwa ulaji wa maharage una faida kubwa sana mwilini kwa hiyo tunapaswa kuangalia faida za maharage kama ifua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Nanasi ni katika matunda matamu lakini mazuri pia kiafya, je unazijuwa faida zake kiafya
Soma Zaidi...