Faida za kiafya za kula maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Faida za kiafya za kula maboga
1. boga lina virutubisho kama vitamini A, C, E na B. pia kuna madini ya chuma, potassium na manganessium. Pia boga lini protini na fati.
2. Boga lin antioxidanti ambazo huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
3. Boga husaidia kuimarisha na kuboresha mfumo wa kinga
4. Husaidia kwa afya ya macho
5. Husaidia kupunguza uzito
6. Hupunguza athari ya kupata saratani
7. Husaidia katika kuimarisha afya ya moyo
8. Boga husaidia kuboresha afya ya ngozi
9. Hupunguza kuganda kwa choo
?
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
je ni vipi vyakula vyenye protini kwa wingi?
Makala hii iatakuletea aina kuu tano za vywkula vyenye protini nyingi zaidi. Kama ulikuwa unajiuliza kuwa ni vyakula ipi hasa vinaweza kukupatia protini kwa wingi ni vipi, makala hii ndio majibu yako kwa swali hilo.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...