Maswali mbalimbali kuhusu fiqh.
Zoezi la 4.
1.(a) Nini maana ya Fiqh.
(b) Ni ipi tofauti kati ya Fiqh na Sheria?
2.Bainisha matapo makuu ya Fiqh.
3.(a) Taja misingi mikuu ya Fiqh.
(b) Ni zipi chem. chem. za Sheria ya Kiislamu
4.Eleza maana ya maneno yafuatayo; (a)Ijtihad (b)Qiyaas (c)Ijma’a
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukugundisha maana ya hadathi pamoja na kutaja aina za hadathi
Soma Zaidi...Endapo mke na mume wameachana na hali ya kuwa mke ana watoto wachanga. Je uislamu unasemaje kuhusu taratibu za malezi?
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha sunnah 9 za swala. Sunnah hizi ni zile ambazo ukiziwacha swala yako haibatiliki.
Soma Zaidi...Hspa utajifunza sasa jinsi ya kugawa mirathi kutokana na viwango maalumu.
Soma Zaidi...