Je ni ipi nafasi ya Elimukatika dini ya uislamu?
Swali:
Nivipi nafasi ya elikuvkatika uislamu?
Jibu:
1. Elimu ndio takrima ya kwanza aliyopewa mwanaadamu na Mola wake kama nyenzo pekee itakayomuwezesha kumjua Mola wake na kumuabudu vilivyo.
“Na (Mwenyezi Mungu) akamfundisha Adam majina ya (fani za) vitu vyote” (2:31) na pia rejea (2:38).
2. Elimu ni amri ya kwanza kwa mwanaadamu kuitafuta kama alivyoamrishwa kusoma Mtume (s.a.w).
“Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba……..” (96:1-5).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Kwenye kipengele hichi tutajifunza lengo la kuumbwa mwaanadamuengo la kuumbwa ulimwengu na viumbe vilivyomo.
Soma Zaidi...Elimu ndiyo zana aliyotunukiwa mwanadamu ili aitumie kutekeleza majukumu yake kama Khalifa wa Allah (s.
Soma Zaidi...Kuua nafsi bila ya Haki, ni kuiua nafsi isiyo na kosa linalostahiki hukumu ya kifo.
Soma Zaidi...Mahusiano kati ya elimu ya mwongizo na elimu ya mazingira katika uislamu.
Soma Zaidi...Mtu hawi Muumini wa kweli mpaka awe na yakini juu ya Mitume wa Allah (s.
Soma Zaidi...Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa.
Soma Zaidi...