Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia dawa bila kupata ushauri wa kitaalamu, madhara haya uwapata watu wengi kwa sababu hawajui taratibu za matumizi ya dawa.
Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa kitaalamu.
1. Uongeza sumu mwilini kwa sababu dozi hauishii na mara nyingine dawa utumika pasipokuwepo na mpangilio hatimaye badala ya kutibu dawa hiyo uwa sumu.
2. Dawa utengeneza usugu wa magonjwa.
Kwa wakati mwingine dawa zinawe kutumika visivyo na kuwafanya wadudu wanaosababisha ugonjwa huo kubwa sugu na kusababisha madhara makubwa ambapo kila dawa ikitumika Ugonjwa hauponi.
3. Uweza kusababisha saratani.
Kwa kawaida saratani nyingine Usababishwa na kutumia dawa visivyo kwa sababu ya mrundikano wa madawa yasiyokuwa na mpangilio usababisha kuwepo kwa saratani.
4. Kwa mara nyingine matumizi ya dawa bila ushauri wa kitaalamu uweza kusababisha kifo kwa sababu kuna dawa ambazo mtu mwenye presha hapaswi kutumia ila kwa sababu ya kutojua mtu anatumia na anaweza kusababisha kifo.
5. Pengine dawa zinaweza kuibua tatizo la mzio(aleji) kwa sababu mtu hajui kama ana aleji na dawa zipi anatumia tu.
6. Pia dawa hizi za bila kutumia utaalamu zinaweza kuharibu afya ya mama na mtoto kwa hiyo tujue wazi kuna dawa ambazo Mama hapaswi kutumia kama ana mimba.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza sababu za kwanini mbu hawezi kuambukiza ukimwi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza ya mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo, ni Tiba ambayo utolewa kulingana na dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya.
Soma Zaidi...