Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Faida za kula epo (tufaha)
1. Tufaha lin virutubisho kama vitamini C, K, A, E, B1, B2 na B6. pia lina madini ya potassium.
2. Husaidia katika kupunguza uzito wa ziada mwilino
3. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
4. Hupunguza athari za kisukari
5. Husaidia kuzuia saratani
6. Husaida kupambana na pumu
7. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya mifupa
8. Hulinda tumbo dhidi ya majeraha kutokana na matumizi ya madawa
9. Husaidia kuimarisha afya ya ubongo
?
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowMakala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Hivi ni vyakula hatari kwa watu wenye maradhi ya moyo. Vyakula hivi si salama kwa afya ya moyo
Soma Zaidi...Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi kuu za Vitamini B katika miili yetu
Soma Zaidi...