Nimetoka kufanya tendo la ndoa ghafla tumbo likaanza kukaza upande wa kushoto na kutoka maji yenye uzito wa kawaida kama ute mengi je hii itakuwa ni nini
Maumivu yavtumbo huwenda yakachanganya sana, Keane yanahusianana sababu nyingi sana. Kina baadhi ya watu hupata na maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa ama punde tu baada ya kumaliza.
Swai
👉 Nimetoka kufanya tendo la ndoa ghafla tumbo likaanza kukaza upande wa kushoto na kutoka maji yenye uzito wa kawaida kama ute mengi je hii itakuwa ni nini â”
Jibu
âœï¸ Maumivu hayo yana yanaweza kusababishwa na
👉Gesi,
👉huwenda staili iliyotumika iliruhusu uume kugusa ndani zaidi ya mfuko wa uzazi.
👉Zipo sababu nyingi ila mara nyingi hali hizi hutokea kama mwanamke aliingia kileleni kisha misuli ya nyonga ikakaza. Kitaalamu huitwa dysorgasmia.
Kama maumivu yatapoa huna haja ya hufikahospitaliðŸ¥.
Ama kuhusu ute ni kuwa sababu umeingia kileleni kwa hisia kubwa (hongera) ✅
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa
Soma Zaidi...Dalili za mimba ya mtoto wa kiume ama mtoto wa kike
Posti hii inakwenda kukueleza jinsi ya kuwjuwa kama mtoto ni wa kike ama wa kiume.
Soma Zaidi...Je chuchu zikiwa nyeusi Nini kinasababisha,, kando ya kuwa mjamzito? Na Kama sio mjamzito sababu ya chuchu kua nyeusi ni nini
Chuchu kubadilika range ni mojavkatika mabadiliko ambayo huwapa shoka wengi katika wasichana. Lucinda nikwambie tu kuwa katika hali ya kawaida hilo sio tatizo kiafya.
Soma Zaidi...Sifa za siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...Mambo ya kuzingatia kwa Mama mwenye mimba
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia kwa Mama mwenye mimba, ni kipindi ambacho Mama uhitahi uangalizi wa karibu zaidi.
Soma Zaidi...Mama mjamzito anapo hisi uchungu je mtoto huendelea kucheza tumboni?
Swali langi ni hiliMama mjamzito anapo hisi uchungu je mtoto huendelea kucheza tumboni?
Soma Zaidi...