Post hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya shida ya upumuaji, ni madhara madogo madogo ambayo utokea kwa watumiaji wa matatizo ya kupumua.
Madhara yanayotokea kwa watumiaji wa matatizo ya kupumua.
1. Kukosa usingizi, hii utokea kwa sababu ya misuli iliyokuwa imetuna inarudi kwenye hali yake ya kawaida
2. Maumivu ya kichwa na kizunguzungu, utokea kwa sababu mishipa ujaribu kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
3. Kichefuchefu na maumivu ya tumbo, utokea kwa sababu ya misuli iliyokuwa imetuna inarudi kwenye hali yake ya kawaida
4. Kutokwa na jasho kingi, utokea kwa sababu ya kuondoa maambukizi mwilini
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni. Ni maji ambayo kwa kitaalamu huitwa (Amniotic fluid)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya dawa ambazo hutumiwa sana na watu kutoka maduka ya dawa lakini sio salama kwa wajawazito.
Soma Zaidi...Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...