Assalam Baada yakufariki wazazi wake mtume alilelewa nanani???


image


Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada ya kufariki kwa mama yake?.


🐔Swali

Assalam ghalaykum natumaini ni mzima waafya. Baada yakufariki wazazi wake mtume alilelewa nanani???

 

Jibu:

✍️ Baada ya kuzaliwa mtume alinyonya kwa mama yake kisha kwa thuaibatul islamiy 

 

✍️ kisha kwa bi halima kwa miaka 4

 

✍️ Kisha akaendelea kulelewa na mamayake kwa miaka tena 2 hadi alipirafiki manayake

 

✍️ kisha alilelewa na babu yake kwa mika tena 2 hadi alipofariki babu yake

 

✍️ kisha akalelewa na baba yake mdogo baada ya kufariki babu. 



Sponsored Posts


  👉    1 Jifunze Fiqh       👉    2 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu       👉    3 Download App zetu hapa ujifunze zaidi       👉    4 Madrasa kiganjani offline    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image Assalam Baada yakufariki wazazi wake mtume alilelewa nanani???
Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada ya kufariki kwa mama yake?. Soma Zaidi...