Mtoto huweza kuzaliwa ndani ya miezi 6 na unaweza kupona. Na huyu mdoe mtoto njiti. Na anaweza kuzliwa kwa njia ya kawaida. Hakuna ushahidi unaiinyesha kuwa njiti hukabiliwanamatatizo ya kitalima kwenye ukubwa wako.
âœï¸Swali:
Njia huanza kufunguka mda gani kabla ya kujifungua â”
JIBU
👉 Njia huanza kuandliwa mapema kabisa toka ujauzito kuingia. Miezi situ ya ujauzito mtoto njiti anaweza kuzaliwa kwa njia ya kawaida.
👉Katika dalili za kukaribia kujifunguwa njia ya kutokea mtoto kuanza kuonekana inafungua, kufungukahuku huweza kuongezeka mpaka uchungu utakapompata.
👉Mabadiliki haya ya njia unaweza kuyaona waziwazi kuanzia wiki ya 35 na kuendelea. Japo babadiliko haya yanaanza kidogo kidogo.
👉Wiki ya 40 unawezakuona njia kuachia. Kujuwa kuwa mwanamkeyupo kwenye uchungu njia hii inakuwa nimoja wa viashiria vya kuangalia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mimba ya miezi kuanzia minne mpaka sita kutoka , Kuna kipindi mimba kuanzia miezi mimne mpaka sita utoka kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...Ujauzito husababisha mabadiliko mengi mwilini, ikiwepo ongezeko la Majimaji ukeni ifikapo tarehe za kukaribia kujifunguwa. Majimaji haya ni muhimu kwa afya ya mtoto aliye tumboni.
Soma Zaidi...Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuongezeka uzito kwa wajawazito, Mara nyingi Mama akibeba mimba uongezeka uzito kutoka wiki ya Kwanza mpaka wiki ya mwisho ya kujifungua.
Soma Zaidi...