Faida za kula parachichi
Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya
Faida za kula parachichi
1. parachichi Lina virutubisho Kama vile wanga, vitamini C, E, K na B pia Lina madini ya magnesium na potassium
2. Husaidia kuimarisha afya ya moyo
3. Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa kuwa dhaifu
4. Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani
5. Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao
6. Hupunguza misongo ya mawazo
7. Hupunguza tatizo la kutopata choo kikubwa
8. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
9. Husaidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria fangasi na virusi
10. Husaidia kutokupata maradhi ya kisukari
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 web hosting 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Athari za kula vitamin C kupitiliza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...Vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C
Soma Zaidi...Madhara ya vyakula vya kisasa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka
Soma Zaidi...