Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
🦠SWALI:
Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifuâ”
Jibu
âœï¸ inawezekana, endapo minyoo itasababisha maumivu ya tumbo, huwenda ikaathiri ulaji. Pia minyoo hula virutumisho ambavyo vinatakiwa na mwili. Hiivinawwza kusababisha mwili kuwa dhaifu kwakukosa virutubisho.
âœï¸ pia mivyoo inaweza kufyonza damu nakusababisha upungufu wa damu. Hii inawezakusababishavudhaifu wa mwili.
âœï¸ Hutokea pia minyoo ikaathiri ini. Hii huwezakuatgiri mfumo wa mmeng'enyo wa shakila na kuudhoofisha.
âœï¸ Katika hali ya kawaida mungia haiathiri mmeng'enyo wa chakula ðŸžðŸžðŸž ikahuwezakuufanya mwili kuwa dhaifu.
Wasiliana 📲 na daktari amafikakituo cha afya kuwa vipimo 🌡ï¸na matibabu 💉💊.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Huwenda ukawa ni moja kati ya watu wanaotaka kujuwa juu ya dalili za ukimwi. Kama wewe ni katika watu hawa tambuwa kuwa kuna dalili za VVU (hiv) na dalili za ukimwi. Makala hii itakwenda kukuletea dalili kuu za mwanzo za VVU na HIV kuanzia wiki tatu za mw
Soma Zaidi...Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu chanzo cha ugonjwa wa malaria
Soma Zaidi...Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,
Soma Zaidi...Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Soma Zaidi...