Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya
Faida za apple
1. Apple Lina vitamini C, A, K, B1, B2 na B6 pia Lina madini ya potassium
2. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
3.husaidia katika kupunguza uzito wa ziada mwilini
4. Hupunguza athari za kisukari
5. Husaidia kuzuia saratani
6 husaidia kupambana na pumu
8. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya mifupa
9. Hulinda tumbo dhidi ya majeraha yanayotokana na matumizi ya madawa
10 husaidia kuimarisha afya ya ubongo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B
Soma Zaidi...Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya?
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...