Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya
Faida za nanasi
1. Nanasi Lina virutubisho Kama vile fati, protin, vitamin C na B6, madini ya chuma, manganese na shaba
2. Hupunguza misongo ya mawazo (stress)
3. Nanasi ni rahisi kumeng'enywa tumboni
4. Hupunguza athari za ugonjwa wa saratani
5. Huimarisha na kuboresha mfumo wa kinga mwilini
6. Hupunguza maumivu ya viungio
7. Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji
8. Ni tunda tamu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Nashukuru kwa ushauri, Je!
Soma Zaidi...Vitamini C tunaweza kuvipata kwenye matuinda kama machunwa vina kazi kuu tatu ambazo ni hizi hapa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...