Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya
Faida za kula zabibu kiafya
1. Zabibu Lina virutubisho vingi Kama vile vitamin C, B6 na K pia fati, madini ya shaba na manganese
2. Ina antioxidants zinazohusika kuondoa sumu za kemikali za vyakula mwilini
3. Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa Kama kisukari, saratani, magonjwa ya moyo na mishipa ya damu
4. Huondoa stress (msongo wa mawazo)
5. Hushusha shinikizo la damu
6. Huondoa cholesterol mbaya mwilini
7. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
8. Husaidia kuimarisha afya ya macho
9. Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
10. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
11. Husaidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria fangasi na virusi
12. Hupunguza kuzeeka mapema
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote?
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu maji,kabichi,na pilipili kidogo.
Soma Zaidi...