Nini maana ya kusimamisha swala?

Je kusimamisha swala kuna maana gani kwenye uislamu?

Swala ni moja katika nguzo tano za uislamu.  Swala ni nguzo kubwa katika hizi nguzk tano za uislamu.  Mtume s.a.w amesema mwenye kuacha swala,  basi huyo amaeivunja dini. Na pia amesema kuwa tofauti kati ya muislamu na kafiti ni swala. 

 

Je ni ipi maana ya kusimamisha swala? 

Maana ya kusimamisha swala ni kuziswali swqla tano kila siku,  kwa kuzingatia nyakati zake na masharti yake na nguzo zake. 

 

Kuzingatia nyakati naana yake ni kuswali ndani ya wakativwake. Kama swala ni ya adhuhur unatakiwa uswali ndani ya muda wa adhuhur. Kwa wanaume wazingatie kuipata swala ya jamaa. 

 

Kuzongatia nguzo,  maana yake ni kuswali swqla kwa kuzitekeleza nguzo zake kikamilifu. Kuzingatia matamko yaliyokuwepo kwenye kuzo za maneno. Na kuzingatia matendovkwenye nguzo za matendo. 

 

Kuzingatia sharti zake,  nivkuswali swala kikamilifu. Kwa kufuata masharti yake. Kwa mfano kuvaa mavazi twahara. Kuswali sehem safi,  pia kuwa twahara. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/13/Friday - 07:18:39 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 675


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-