YAJUE MARADHI YA KISUKARI
Posti hii itakwenda kuelezea mambo machache kuhusu ugonjwa wa kisukari
Kisukari hutokea kwa sababu kuu mbili yaweza kua mwili kushindwa kutumia insulini iliyopo mwilini au mwili kushindwa kuzalisha insulini
Dalili za kisukari
1. Kukosa nguvu
2. Kupungu na kukonda
3.mwili kuwa dhaifu
Nini tufanye kujilinda na kisukari
1.fanya mazoezi mara kwa mara
2. Punguza uzito
3. Kula kiafya
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π2 Kitau cha Fiqh π3 Bongolite - Game zone - Play free game π4 web hosting π5 Kitabu cha Afya π6 ai web app
Post zinazofanana:
Jinsi ya kudhibiti sukari kwenye damu bila kutumia dawa (kwa mtindo wa maisha).
βKudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu ni nguzo muhimu katika kuzuia na kusimamia kisukari cha aina ya pili. Makala haya yanatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu jinsi mabadiliko ya kimkakati katika lishe, mazoezi, na mtindo wa maisha yanavyoweza kusaidia kuimarisha usikivu wa insulini (insulin sensitivity) na kudumisha viwango vya sukari katika hali ya kawaida bila hitaji la haraka la dawa.
Soma Zaidi...Upungufu wa madini ya chuma mwilini: Dalili zake.
Upungufu wa madini ya chuma mwilini (Iron Deficiency) ni miongoni mwa changamoto kubwa zaidi za kilishe duniani, inayopelekea ugonjwa wa upungufu wa damu (Iron Deficiency Anemia - IDA). Makala haya ya kitaalamu yanaangazia kwa kina dalili kuu na za nadra za hali hii, ikiwa ni pamoja na uchovu sugu, kupauka kwa ngozi, na matamanio ya vitu visivyo vya chakula (pica). Aidha, yanajadili makundi yaliyo katika hatari kubwa, mbinu za kisayansi za utambuzi wa kimaabara kupitia viwango vya ferritin na hemoglobin, pamoja na mikakati ya kuzuia na kutibu tatizo hili kupitia lishe bora na virutubisho kwa mujibu wa miongozo ya Shirika la Afya Duniani (WHO).
Soma Zaidi...Njia za kupambana na saratani
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na saratani
Soma Zaidi...Homa ya dengue: Dalili na jinsi inavyoenezwa na mbu.
Homa ya Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoambukizwa kwa binadamu kupitia kuumwa na mbu aina ya Aedes aegypti. Ugonjwa huu ni tishio kubwa katika maeneo ya kitropiki na mikoa yenye joto. Ingawa visa vingi ni vya wastani, baadhi ya watu wanaweza kupata Dengue kali (Dengue Hemorrhagic Fever) ambayo inahitaji uangalizi wa haraka wa kimatibabu. Makala hii inaelezea mzunguko wa uenezaji wa virusi hivi na umuhimu wa usafi wa mazingira katika kudhibiti mbu.
Soma Zaidi...Sababu za Kupungua kwa Hamu ya Mapenzi
Makala hii inachunguza kwa kina sababu zinazosababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa (Low Libido). Tutaangalia vipengele vya kimwili, kisaikolojia, na mtindo wa maisha vinavyoweza kuathiri hali hii, pamoja na ukweli wa kisayansi kuhusu tatizo hili na hatua za kuchukua ili kuboresha afya ya mahusiano.
Soma Zaidi...Dalili za Mimba Kabla ya Kukosa Hedhi
βSiku za mwanzoni baada ya kutunga mimba, mwili wa mwanamke huanza kuonyesha mabadiliko madogo ya homoni. Post hii inaangazia ishara za awali ambazo zinaweza kujitokeza hata kabla ya siku ya hedhi inayotarajiwa, ikielezea sababu zake na jinsi ya kuzitofautisha na dalili za kawaida za kabla ya hedhi (PMS).
Soma Zaidi...