Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo
VIPIMO VYA MINYOO
Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo. Itahitajika uende hospitali kwa ajili ya vipimo zaidi. Kuna aina tano za vipimo vya kupima minyoo kama vile:-
kupima kinyesi kama kina minyoo au mazalia ya minyoo (fecal test)
Kumulika utumbo mkubwa (colonoscopy) hiki ni kifaa chenye kamera ambacho kinaingizwa kwenye njia ya haja kubwa, ili kumulika utumbo mkubwa kama kuna minyoo
Kupima damu (blood test)
Kuchukuwa picha za mwili kwa kutumia vifaa kama X-ray, MRI na CT scan.
Kupima kwa kutumia tep (tape test). unapewa kaji tep (kama kamkanda kadogo) kisha unakaweka kwenye tundu ya haja kubwa na mara nyingi wakati wa asubuhi unapoamka. Kisha katep haka kanawekwa kwenye hadubuni (microscpe) na kuchunguza uwepo wa minyoo aina ya pinworm au mayai yao.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu, kama mtu amepoteza fahamu Kuna mambo muhimu yanapaswa kuangaliwa kwa makini kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.
Soma Zaidi...