Halow samahan dokta nmekuwa nikiumwa tumbo muda mwingi takriban wiki ya 3 halipon naharisha kuna muda nikila chakula hata kama kdogo tu maumivu makali,je nifanyaje msaada
Mvurugiko katika mfumo wa chakula mwilinivunaweza kusababisha maumivu ya tumbo, kuharisha, kutapika na kuchoka pia. Lakini zipo sababu nyingine kama kuwana ujauzito. Nini ufanye endapo unasumbuliwana hali hii
🌿Swali
Halow samahan dokta nmekuwa nikiumwa tumbo muda mwingi takriban wiki ya 3 halipon naharisha kuna muda nikila chakula hata kama kdogo tu maumivu makali,je nifanyaje msaada mimi ni mwanamke.
Jibu
Pole sana kwa maumivu. Na hata kuharisha. Kama ulivyoona maelezo hapo juu kuhusu sababu za maumivu ya tumbo.
Huwenda ni moja kati ya sababu ambazo zimetajwa hapo juu ilapia inawezekana Ikea ni tyohid.
Huwenda pia una ujauzito, ama ni nvurugiko wa tumbo kitalima na maji ama vyakula
Ushauri wangu fika hospitali kwa vipimo zaidi na matibabu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Kitau cha Fiqh π2 Madrasa kiganjani π3 Dua za Mitume na Manabii π4 Kitabu cha Afya π5 Simulizi za Hadithi Audio π6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Vimelea vya tumbo (Minyoo): Dalili za kuwepo mwilini na tiba.
Vimelea vya tumbo, maarufu kama minyoo, ni tatizo la kiafya linaloathiri watu wa rika zote, likichangia kwa kiasi kikubwa utapiamlo na upungufu wa damu. Makala haya yanatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu jinsi ya kutambua dalili za maambukizi, taratibu za utambuzi hospitalini, na mikakati madhubuti ya tiba na kinga ili kudumisha afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Soma Zaidi...Dalili za vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo no tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda,hutokea baada ya ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaitwa mucus kuharibika. Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) imegawanyika katika ma
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo
hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Kutokwa na jasho kupita kiasi wakati wa kulala: Chanzo chake.
kuamka katikati ya usiku ukajikuta nguo zako au mashuka yameloa jasho hadi unalazimika kubadilisha, licha ya kwamba chumba kina ubaridi wa kutosha? Hali hii kitaalamu inajulikana kama Night Sweats. Makala haya yanachambua vyanzo mbalimbali vinavyosababisha tatizo hili, kuanzia sababu za kawaida za kimazingira hadi viashiria vya matatizo ya kiafya yanayohitaji ushauri wa daktari.
Soma Zaidi...Ugumba (Infertility): Je, tatizo huanzia wapi kwa mwanamume na mwanamke?
Ugumba hufafanuliwa kama hali ya kutoweza kupata ujauzito baada ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango kwa kipindi cha mwaka mmoja (au miezi sita kwa wanawake walio na umri wa zaidi ya miaka 35). Ni tatizo linalogusa pande zote mbili; takwimu zinaonyesha kuwa katika visa vya ugumba, karibu theluthi moja inatokana na mwanamume, theluthi moja inatokana na mwanamke, na theluthi iliyobaki ni mchanganyiko wa pande zote mbili au sababu zisizojulikana.
Soma Zaidi...Sababu za Mtoto Kuharisha Mara kwa Mara
βUharishaji kwa watoto ni changamoto ya kawaida inayoweza kusababishwa na maambukizi, lishe, au mabadiliko ya kifizikia. Makala haya yatafafanua sababu kuu za tatizo hili, jinsi ya kukabiliana nalo nyumbani, na wakati mwafaka wa kumpeleka mtoto hospitalini.
Soma Zaidi...