Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)
Haki za Raia katika Dola ya Kiislamu.
Haki za msingi za raia waislamu na wasiokuwa waislamu katika Dola ya Kiislamu ni pamoja na;
Haki ya kuendesha maisha binafsi bila kuingiliwa na mtu yeyote.
Haki na uhuru wa kutoa maoni na kuamrisha mema na kukataza mabaya.
Rejea Quran (3:104), (9:71), (9:67).
Haki na Uhuru katika kufuata na kuabudu dini yeyote aipendayo mtu.
Rejea Quran (2:256), (6:108), (29:46) na (16:125).
Haki ya Kuwashtaki Viongozi wa juu wa Dola bila upendeleo na ubaguzi wowote.
Haki ya kumiliki mali au rasilimali zozote za halali na zisizoleta madhara kwa raia na Dola kwa ujumla.
Rejea Quran (2:262), (2:267) na (18:32-43).
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowNguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Endapo mtu yupp katika orodha ya wanaotakiwa kutithi, anaweza kuzuiliwa kurithi kwa kuzingatia haya.
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Je unadhani ni kwa nini waislamu wanaelekea kibla, na jinsi gani utaweza kukipata kibla.
Soma Zaidi...