picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA TANGAWIZI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi

picha
MAFUNZO YA HTML LEVEL 1 SOMO LA 1 (HTML BASIC LEVEL FOR BEGINNERS)

Haya ni mafunzo ya HTML kwa wanaoanza level ya kwanza, na hili ni somo la kwanza katika masomo 8 yatakayokujia...

picha
FAIDA ZA KULA CHUNGWA NA CHENZA (TANGARINE)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)

picha
FAIDA ZA KULA TIKITI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti

picha
FAIDA ZA LIMAO AU NDIMU

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao

picha
FAIDA ZA EMBE

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula embe

picha
FAIDA ZA KULA APPLE (TUFAHA)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA PARACHICHI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi

picha
FAIDA ZA KULA NANASI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi

picha
FAIDA ZA KULA PARACHICHI

Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi

picha
HUKUMU ZA KUJIFUNZA TAJWID

Kujifunza tajwid ni katika mambo muhimu wakati wa kusoma Quran

picha
KAMA UNASUMBULIWA NA FANGASI

Post hii fupi inakwenda kukujuza juu ya tatizo la fangasi na nini ufanye.

picha
MTU ANAYE UMWAAA UTI ANAWEZA KUONA SIKU ZAKE?

Kutokuona siku zake mwanamke ni ishara kuwa kuna shida kwenye umfumo wa uzazi. Wakati mwingine kutokuona siku ni ishara...

picha
JE NA KWA UPANDE WA MWANAUME KUUMWA UPANDE WA KUSHOTO WA TUMBO KUNA SHIDA GANI?

Maumivu ya tumbo upande wa kushoti, kwa mwanamke huwenda ikawa ni ujauzito ama shida nyingine za kiafya kama tumbo...

picha
SHIDA YA KIFUA KUBANA INAWEZA KUWA DALILI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Kubana kwa kifuwa ni katika hali ambazo si naweza kuhatarisha maisha. Huwenda kuwa ni miongoni mwa dalili za magonjwa mengi....

picha
UNAKUTA SIKU IMEFKA YA HEDHI KABLA HAIJAANZA KUTOKA HEDHI YANATOKA MAJI MEUPE CLEAN KABISA HII INA NAAMISHA NINI?

Kutoka na majimaji ka uchache kwa mwanamke sio jambo lakishangaa sana. Damu hii inawezapiabkikbatana damu na maumivu makali.

picha
IV SHEKH HAIFAI KUFUNGA KWA NIA UTIMIZE JAMBO LABDA KUNA KITU UNAKITAKA KWHY UNAAMUA KUGUNGA ILI KAMA KUZIDISHA MAOMBI KWA MUNGU JAMBO LIFANIKIWE

Ibada yavfubga ni katika ibadavanbazo hufanya nakaribia dini zote kubwa. Ibada hii imekuwaikikabiliw na naswlo mengi.

picha
LAZIMA MATITI KUUMA KA MIMBA CHANGA?

Kuuma mwa matiti ni moka ya Ichiro kuwa huwenda ni ujauzito. Hii haimaanishi etindio mjamzito, zipo dalili nyingi za...

picha
MEM MTOTO ANG ALMEZA SUMU YAPANYA ILA TULIMPA MAZIWA KWAN INAWEZA LETA MADHARA KWABAADAE MANA ATUKUMPELEKA HOSPTAL

Maziwa ni mojakati ya vinywaji ambavyo ni dawa na hutumikakutoa huduma ya kwanza pale mtu anapomeza ama kula sumu. Huduma...

picha
JE TUMBO HUANZA KUKUA BAADA YA MDA GAN?

Ni Swali kila mjamzito anataka kujiuliza hasa akiwa katika mimba ya kwanza. Wengine wanataka kujuwa ni muda gani anujuwe...

picha
MIMI NAUMWA NA TUMBO CHINI YA KITOVU UPANDE WA KULIA, NINAPOTOK KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NDONAPATA MAUMIVU ZAID PIA NAWASHWA SEHEMU ZA SIRI ITAKUWA SHIDA NI NIN?

Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa yanaweza kuwa ni dalili ya maradhi fulani, ama shida kwenye mfumo...

picha
HABAR DOCTOR MM NAHC KUWA NI MJAMZITO TUMBO LA CHIN YA KITOVU LINANIUMA MUDA MWINGINE LINAACHA CHUCHU ZINAWASHA NA CKU NILIYOKUTANA NA MUME WANGU NI CKU 11

Kuna uwezekano una ujauzito ila hujajijuwa, huwenda hujapata dalili zozote. Unataka kujuwa kama una ujauzito baada ya tendo la ndoa....

Page 217 of 225

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.